Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ugonjwa mbaya sana huu2/Kiharusi![]()
Kitaalamu unaitwa Stroke kwa Lugha rahisi ni kupooza![]()
Ikumbukwe ili ubongo iweze kufanya kazi unahitaji hewa ambayo husafirishwa kupitia kwenye damu hivyo chakula cha ubongo ni damu sasa kiharusi hutokea pale damu inapofeli kufika ubongoni au kufika chini ya kiwango kwa sababu mbalimbali mfano mishipa kupasuka, shinikizo la juu la damu n.k
Mgonjwa wa kiharusi sio tu hupooza mwili bali pia akili
Huua watu 6.1 Milioni kwa mwaka
.................
Wapendwa wangu baadhi wameondoka nao

