Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Weeee komaaaHa ha ha ha ha ha ha.... Usishtuke.. ..nakuweka Sawa tu
Weeee komaaaHa ha ha ha ha ha ha.... Usishtuke.. ..nakuweka Sawa tu
Daa mitihani ya dunia hiyooHauna tajiri wala maskini
Msomi wala mbumbumbu
Mdogo wala mkubwa
Mnene wala mwembamba
Mwanamke wala mwanaume
Ni janga
.....
Hivi positive si ndo alama kama ya kutenganisha jina yaaan mfano husna kutoa obeumekosea, niliweka alama ya msalaba, si unajua tena sikutaka kuonekana silijui kanisa,
Sitakiii nitapitwa na utamuuDoooh hivi kuskip ndio hutakagi kabisa
Basi siku tukienda tena nitakutellUngenistua ningekuja mana nipo karibu napo apo
duuuu...ni mwendo wa kupulizaMimi narogaa sina mda wa kupigana na wewe
Achezee na vyoote ila sio mke wanguduuuu...ni mwendo wa kupuliza
Unazenguaa
Mimi narogaa sina mda wa kupigana na wewe
We kuutwa kuchwa na mbuzi wako tu ukimwi utautoa wapi??!!Juzijuzi tu nimepima kitu -ve
Ila sibweteki
Kapimeni jamani
![]()
![]()
![]()
.....
Simu alibakiii nayo naniiii
Sawa baba watotoNakuja muda si mrefu
Salama shemela pole na majukumuHabari yako shem
Ulivyoipost mi sikuwepo so kwangu ni mpyaHii mada nilipost zamani
Kuitrudia haina ubaya
Wapo walioisahau pia wapo walioikosa
Wiki hii ni kuzirudia tu...sina kipya cha kuandika wiki hii naboresha za zamani
Pia wiki hii muda ni tatizo
Vitu vipya labda next week
......
Huyu hawez kutushindaa kumaliza uwezo wetu wa kufikiriaa..ha hahaha, yaani wewe ndo mjomba wangu kabisa. hata mimi kupigana siwezi kabisa, sisi ni damu moja aisee.
tena anko tukiona wanazuia uchawi tutafute mganga wa majini
Hivi positive si ndo alama kama ya kutenganisha jina yaaan mfano husna kutoa obe