Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Bila hiyana kiongozi nakupeleka ulingoni uone pambano moja heavy kuliko hilo lijalo
Umepotea sana Lee hadi nammiss KansiimeAsante aunt J kwa historia
Hii nayo nayo ni sababu hau kuku sipendi si kula tu bali hata kuwaona sipendiUsisahau hiyo ni catalyst muhimu kuwafanya broiler wawe na thamani zaidi
Nitakutafutia movie nzima mkuu wala usipate shidaAisee hiki nikipande tena siwezi pata nzima hii?
Hata ivo nishukuru mana hua hainiishi ham
Kama umefurahi unilipe kidogo mana nimehusika apo kwi kwi kwi
Ya nini ?Nimeweka kumbukumbu
Kila siku natupia mbiliAisee hiki nikipande tena siwezi pata nzima hii?
Hata ivo nishukuru mana hua hainiishi ham
Kumbeeee
J.Lo cha woteAsante sana kwa hizi Ngoma
Huo Jen from the block ndio alikua akiwajulisha watu kwamba hajabadilika yeye ni yule yule wa kitaa
All I Have ni moja kati ya Ngoma zake ambazo nazielewa sana
Kiufupi namkubali sana JLO
Asante kwa hadithiNiko kwenye viporo
Mkifunga siku forty si mtachacha? Au maana mimi huwa nafunga siku 30 siogi wala kuswaki najipilizia unyunyu tu, gift of zanzibar na sabuni ya rexona

Bila hiyana kiongozi nakupeleka ulingoni uone pambano moja heavy kuliko hilo lijalo
Nimekusogezea kitu kingine toka kwa mkali wa wakali Charlie ChaplinAisee hiki nikipande tena siwezi pata nzima hii?
Hata ivo nishukuru mana hua hainiishi ham