Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tusalimianeee ata kama nikitokaa unaongoza kamati ya fitina....Mdau siioni kwangu, nimebahatika leo , kumbe simu yangu waweza fanya screenshotView attachment 549355
Heshima kwako binamu
Tusalimianeee ata kama nikitokaa unaongoza kamati ya fitina....Mdau siioni kwangu, nimebahatika leo , kumbe simu yangu waweza fanya screenshotView attachment 549355
Asante bitoz kwa kumi kubwa1/Ugonjwa wa Moyo![]()
Moyo ndo injini ya mwili na waswahili husema kazi ya moyo ni kusukuma damu ..kupenda ni kiherehere Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza![]()
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji ila bwana yule na jamaa yake hawamwonei huruma wamekomaa tu na Mhindi wa watu ...tumuombee
Huua watu takribani milioni 7.2 kwa mwaka
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Tafuta thread mbali mbali za Ukimwi hapa Jf ujiongeze kwenye hicho kiini macho!
Kwa taarifa yako tu hakuna sehemu yoyote Ile ambapo wanapima na kuwaona hao Virus wao wanapima antibodies tu![]()
Sasa fatilia kwa undani kisha uje kushare uzoefu wako

Utamaduni wake unamruhusu
Halafu ukiangalia orodha ya jlo ni ndogo tu ukiilinganisha na ya Wema wakati kiumri Wema ni mdogo sana
Nilikupiga vitatu mkuuAsante bitoz kwa kumi kubwa
Natamani nikuhug japo binamu kaflash emojiiiBinamu obeee naomba nyimbo ya vee money na jux inaitwa juu
Tulikuwa kwenye majaribio, ngoja kwenye ngao hisaniNilikupiga vitatu mkuu
Tusalimianeee ata kama nikitokaa unaongoza kamati ya fitina....
Heshima kwako binamu
Naomba kujua madhara ya bangi mkuuKila kitu kina madhara kinapozidi, hata bangi ukiizidisha ina madhara
Ila bangi ni nzuri zaidi,sigara ni hatari zaidi kwa afya
HatariTatizo sisi tumekariri kuvuta bangi, bangi inapikwa mboga, inakaushwa na kusagwa unga, unaweza kunywa kwenye chai au uji
Nitakupa mrejeshoZile hazina deal
We soma tu kwavile we ni open minded utaelewa
KatibuAhaaaaaaaa
Dah ni rate ya juu sana hiyo1/Ugonjwa wa Moyo![]()
Moyo ndo injini ya mwili na waswahili husema kazi ya moyo ni kusukuma damu ..kupenda ni kiherehere Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza![]()
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji ila bwana yule na jamaa yake hawamwonei huruma wamekomaa tu na Mhindi wa watu ...tumuombee
Huua watu takribani milioni 7.2 kwa mwaka
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Bora umuulizeMmh ulimuona
OkayNilikafanikisha, ila kafupi sana, nilijua labda ni kama 1hr au zaidi/chini
usiwe ukanielewa sivyo....Sawa mzee
Ufafanuzi wako rayari nimeuelewa
...
Ha hahahaha, anko wangu naona umerudi na kujitetea kwiiiingi, kumbe huwa unakuwa mlaini sana kwa aunt. Ukiwa kwa wahamiaji haramu toka Burundi unajidai ngangari

Naona wamepania kuibomoa MonacoNdio yeye