shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Bangi ukizidisha matumizi yake kwa siku ina madhara, kwa kutumia kidogo kidogo haina madharaNaomba kujua madhara ya bangi mkuu
Kwa ujumla bangi haina madhara, ila usizidishe itavuruga mfumo wa fahamu