Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Oooooh hivi alikujaa kwelii![]()
dogo alinionyesha nikamwambia anitumie uliiweka kwa dp yako ya whatsapp yako nyingine
Inapendeza sanaa....
Oooooh hivi alikujaa kwelii![]()
dogo alinionyesha nikamwambia anitumie uliiweka kwa dp yako ya whatsapp yako nyingine
Tulikaa mpaka saa 6 alivaa jezi ya simba nikamwambia nakuvua jamaanOooooh hivi alikujaa kwelii
Inapendeza sanaa....
Siri za nini tena ...
Ndo maana sipendagi kufatia thread nje ya hapa
Binamu naomba wimbo wa Angekuwepo wa Aslay ...maalum kkwa mke wangu mama D
Oooooooooh vizuri sana ...nashukuru sanaTulikaa mpaka saa 6 alivaa jezi ya simba nikamwambia nakuvua jamaan
Mmh mpaka kule upo ahahha binamuNilikuwaga kwenye politics sana, baadaye nikaja KF na tangu hapo huwa naenda kwenye siasa kwa chat na lile jukwaa la chini kabisa.
Binamu nakuona kivuruge kwenye ubora wako ndio wa kwangu huyo baba d jaman hata akijiteteaHa hahahaha, anko wangu naona umerudi na kujitetea kwiiiingi, kumbe huwa unakuwa mlaini sana kwa aunt. Ukiwa kwa wahamiaji haramu toka Burundi unajidai ngangari
Usijal Baba D wanguOooooooooh vizuri sana ...nashukuru sana
Sawa nmemsamehe acrudie tenaBasi mkee jaman naomba umsamehe mume wangu kwa niaba yangu jaman![]()
Baba D ujue nakuombea msamaha apa unataka kupelekwa kwa mjumbe na mke mwee

Johnson na JacksonYapi sasa hayo
Tatizo ujuaji mwingi kila mtu anajfanya anajuaThread nyingi siku hizi ukiingia ni pasua kichwa tu ...unaweza kujikuta unaharibu siku yako bure bora kuzipotezea jumla
Full makorokoro
Full ushamba
Full ugomvi
Full utoto
......
NdioKwan uongoo??
Ni mapacha ndioAkwendeeee zakeee ...
Hivi si alisema mapacha au sikumbukii
Hiii jaman jamanii Mungu mtume yalhaaaabiiii....
Ndo wakina jj??

Huyo dogo ndo naniii![]()
dogo alinionyesha nikamwambia anitumie uliiweka kwa dp yako ya whatsapp yako nyingine
Dedication na Wadhamini wa Jumapili
Mida imeenda sasa, tujiandae na wiki hii na iwe yenye mafanikio kwetu sote. Mjomba lee empire kadedicate songi hili kwa Shunie
Na shedede kadhamini Dude hili kwetu sote





nakupenda lee wangu ulipo nipo Mungu azidi kuniwekea we mkaka jamaan Nakupendaaaaa shunie mimi jamaan
Asante mke mweeSawa nmemsamehe acrudie tena