Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,569
- 94,847
Kabisa. Maini yake mabichiiiiiWanasema ngombe hazeeki maini
Kabisa. Maini yake mabichiiiiiWanasema ngombe hazeeki maini
![]()
![]()
![]()
Sijawahi kuwachukia marastafari sababu tu ya bangi zao....wengi hawana makuu na mtu
Wakati nasoma nilikaa hosteli chumba cha watu wawili mwenzangu alikuwa ni mvuta bange na mnywa pombe aliyetukuka ila hakuwa na ukorofi wowote wala umbea umbea tukaishi vizuri na hadi leo bado ni marafiki tunaoelewana japo tupo mikoa tofauti
Ila chumba cha pili kulikuwa na "mcha Mungu" mkorofi aliyepitiliza na ana mdomo kama kasuku sikumpenda kantu
...........................................................
Napenda kumhukumu mtu kwa matendo anayonifanyia au yanayonigusa/kuniatiri/dhuru moja kwa moja na siyo mambo binafsi ya mtu....kamwe hayanihusu
.
Bongo tunaye baba Tunda(Afande Sele) nasikia anakula nyama sanabu Ni Mtazamo wake binafsi na katumia Darubini kali kujipima
......

Teh teh ndo hapo mnapomzuga Lee. Tongozwa tu..mi naelewa lugha yenu.babu wa mwendokasi hapana aisee acha nitongozwe kwa kilugha
SawaNi kungoa na si kung'oa
Tunapenda shemelaBarikiwa shemela au niache jaman hampendi
Hapana uendelee nacho tu kiswahili kwakweli unasababisha mpaka mke mwee akikuona anakimbia kapuku

Hatumzugi bana mbona nilimkatalia Ahahhah we ujue unakumbuka neno la utamuTeh teh ndo hapo mnapomzuga Lee. Tongozwa tu..mi naelewa lugha yenu.
Ha ha haaa...ila huyo babu yako inaonekana ni mtu wa mazoezi. Ngozi yake bado intactila ngozi imeshuka woiiii
KaribuTOP TEN
Kuna usemi kwamba afya ni uhai pia mtaji wa maskini ni nguvzake ikimaainisha afya njema huchangia mtu kuwa na maendeleo maana ukiwa afya mgogoro basi utapoteza muda na pesa nyingi
Basi leo nawaletea magonjwa 10 hatari zaidi duniani
Yaani magonjwa yanayopeleka idadi kubwa ya watu makaburini
karibuni
.......
Endelea kupasha tuNiko kwenye viporo
Ulipitwa aiseeMpendwa wa binamu asante sana jaman sasa ni mimi ndio nimepitwa au mbona episode ya pili sijaisoma jaman
Basi shemela nitakua naendelea watakaokwazika watusamehe tu kila mtu na aheshimu imani ya mwenzieTunapenda shemela
Mmh ulimuonaHa ha haaa...ila huyo babu yako inaonekana ni mtu wa mazoezi. Ngozi yake bado intact
Sawa mzeeInaniponza Kivipi bitoz?
Iliwekwa shemela basi itakua siku iliyowekwa sijaingia jfUlipitwa aisee
Oooooh! Shangazi umenikumbusha wimbo Wa kanumbaNitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi
Asiuache mguu wako usogezwe asisinzie akulindaye.
Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi yeye aliye mlinzi wa Israel.
Bwana ndiye mlinzi wako, Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku.
Bwana atakulinda na mabaya yote atakulinda nafsi yako.
Bwana atakulinda utokapo na uingiapo Tangu sasa na na hata milele
Zaburi 121:1:8![]()
![]()
Muwe na mchana mwema mbarikiwe sana![]()