Mambo mrembo muzuri?Wazima humu?
hahaha...anaona chenga hapoHapa Th Name anaona chenga tu.
hahahaha...sawa nmekusoma.Yaa chapa mtu chapa imetumika kama brand si unajua majembe Kuna jembe chapa jogoo na chapa mamba? Hili neno tulilitumia shule tukimaanisha mke
Akina mhagamaHahahaaa.... Inawezekana pia.
Ni njema sana Mkuu, vipi wewe hapo?Habar ya meimosi makapuku
Pametulia mkuu mungu ni mwemaNi njema sana Mkuu, vipi wewe hapo?
Safi.Hapa vipi??
Pole yake indeed.tatty amenisikitisha sana.
R.I.P huko uliko.
Nimekuona darling.Shemdarling
Yuko poa sanaNiko poa Wii ake. Nimekumiss... Kaka anaendeleje?
Ni nzuri Mkuu, hali yako vipi?za may day?
Mzima?Mambo mrembo?
Mwambie huyo maana anajidai ametoka kuungama kanisani.Ujue unafanya dhambi
Sijaolewa alaf mie mahari unitumie kwa western union, haya utatoa ngapi?Ama kweli.
nameless girl umeolewa eti?
Kweli, ndiyo mana ametoka nduki.Hakawii kusema tunaloga
safi kaka, sijui wewe?Ni nzuri Mkuu, hali yako vipi?
Huijui?Dhambi gani tena..