Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Kwelihilo jina linavutia
Kwelihilo jina linavutia
Mim hapa
Mkuu naona vitulunch mumy![]()
Hamko pamoja?Missed you... Weekend niaje?
Mambo mrembo?Mie tena....
Mie niko busy sana kuandaa kitabu kinaitwa Kiguu na njia. Ila humu jf sileti mana nikikatisha mtanoendea hata kwa babu hahahaaaa
Pole madam V.Cha hotel naona sishibi vizuri kama cha home
Ingia uwanjani ucheze namba ipo
Hata mie naona unaelekea kupona kabisa.ameen kaka naelekea kupona siunaona navyopost.
Mimi nina mashaka kidogo na huo Upendo wao.Hata mimi najua upendo wenu ni wakaka na dada...
Sehemu gani sasa, ama itakuwa bar?Tutaonana Badae
Uko kama mimi vile.Si yameisha mkuu
Me anayenifollow namfollow
Anayelike like namlike
Anayeuchuna nauchuna
Just a simple...haina haja ya kujadili hakuna mjuano me ht mtu akiwa mgeni nampa like zen namcheki km nae hatoi nampotezea tu
Be Peace
.........,......
Hapana wote tukiwa wachezaji nani watakuwa watazamaji wacha wengine tuwe mashabiki tu..Ingia uwanjani ucheze namba ipo
Sio lazima uamini piaMimi nina mashaka kidogo na huo Upendo wao.
Mtumishi nilishasema anahitaji maombi sana ...Mimi nina mashaka kidogo na huo Upendo wao.
awwOngeza kachumbari![]()