Makapuku Forum

Makapuku Forum

Oyoooo mpo poa humu nawasalimu wote humu
Sisi wafanyajazi ndio siku yetu leo ya kudai malipo mazuri na mazingira bora ya kufanyia kazi
Hivi kwenye hii sikukuu yenu ya wafanyakazi huwa mnalipwa nini siku hiyo?
Kuna chochote huwa mnapewa kwa ajili ya kufurahia?
Je, katika mikoa ambayo hakuna maadhimisho, ni kipi huwa mnafanya kwa siku hiyo?

Samahani kwa swali.
 
ca953103624f1022a7ffc0672c164db8.jpg
Hahahaaa.... Inawezekana pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom