amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
osiee iwe ni mshamba wa hii?Zumbe asaidia mghoshi maana kuzacha
Yaaa ila mbaya nilipamis sana humu week ka mwaka!!Yeah jumanne ingefaa zaidi
JK angeweza kutupa mapumziko kesho ila sio kwa Magu.Poa poa mkuu hii siku ingefaa iwe kesho
Osie woshe imi ni wausotoosiee iwe ni mshamba wa hii?
kwangu njema sana, mvua ya kutosha huku.Nzuri kabisa sijui kwako
Tulia wewe.!
Yeah kwa hili tutammisi anko jkJK angeweza kutupa mapumziko kesho ila sio kwa Magu.
Kisambaa hiko
Imi ni wamuheza.Osie woshe imi ni wausoto
Tulia kwanza tusalimiane kikwetu
My wii uko poa?Wazima humu?
Hahaha hata imi osieeOsie woshe imi ni wausoto
Daaa huku leo imetoa nafasi ya kuanika nguokwangu njema sana, mvua ya kutosha huku.
JK mtu wa pwani...mvivu mvivu asiye serious sana.Yeah kwa hili tutammisi anko jk
Pole kwa kuchelewa, ila hongera kwa kwenda kanisani maana ni jambo jema kumshukuru Mungu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Post 200 ....nyie punguzeni sifa bhana watu tulikuwa church
![]()
![]()
![]()
....................
Kumbe iwe ni mndughu anguImi ni wamuheza.
Kumbe imi nghambia ni wa fughaImi ni wamuheza.
hongereni huko.Daaa huku leo imetoa nafasi ya kuanika nguo
Niko poa Wii ake. Nimekumiss... Kaka anaendeleje?My wii uko poa?