EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Tupo salama kabisa Mkuu.Mko poa makapuku wenzangu?
Karibu.
Tupo salama kabisa Mkuu.Mko poa makapuku wenzangu?
Tuko poa nyegei karibu tenaMko poa makapuku wenzangu?
Mechi itakuwa ngumu sanaYaa tusubir ila kwangu mimi man u akikomas zaid ana droo
Hee...![]()
![]()
nkwei kabisa.
Ila uku niiko siinue nkoba.

Sana asee sio ya kukosa japo Leicester city watakua moto zaid ili wajihakikishie ubigwa mapemaMechi itakuwa ngumu sana
Mungu ni mwingi wa Rehema.Pametulia mkuu mungu ni mwema
Mechi itakuwa ngumu sana
Karata yangu mm naitupa LeicesterKarata yako ni wapi Kabugha na The name
Full time MUFC 2-1 Leicester
Man utd 2-1 LeicesterKarata yako ni wapi Kabugha na The name
Full time MUFC 2-1 Leicester
Tupo salama kabisa Mkuu.
Karibu.
Mie niko mzima, wikendi vipi?Mzima?
Itakuwa aibu wakitangazia OTSana asee sio ya kukosa japo Leicester city watakua moto zaid ili wajihakikishie ubigwa mapema
Si hao, wanaongea sijui manini tu.Nani kaleta ukabila humu!
Jamani tudini kwenye umoja wetu
KabughaYuko Meimosi
Poa kabisa Mkuu, nipe habari.Vipi EMMYGUY
Kaka th name!Mechi itakuwa ngumu sana
JambiloKabugha
Kimba Sc anakufa km vp wadraw ili kutusafishia njia ya ubingwaMechi kali za leo Jumapili
Simba Vs Azam
Man Utd Vs Leicester City.