KABUGHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 351
- 1,004
Nipo mkuu natumai uko poaMkemia upo
Nipo mkuu natumai uko poaMkemia upo
hapa safiHapa vipi??
Jumapili inaendaje huko ulipo??hapa safi
Poa poa mkuu hii siku ingefaa iwe keshoNipo mkuu natumai uko poa
Zumbe asaidia mghoshi maana kuzachaPoa tu mkuu.
Uinuke zeze mghoshi.
Sijambo,nilikumisi sana.Otorong'ong'o mzima?
Njema mkuu tupokwema chief, za kwako?
Nzuri kabisa sijui kwakoza may day?
Haya mghosi hamna mbui.Zumbe asaidia mghoshi maana kuzacha
Ujue unafanya dhambiSijambo,nilikumisi sana.
Dhambi gani tena..Ujue unafanya dhambi
Poa Shem.. Uko poa ww?Shemeji za Sunday?
Yeah jumanne ingefaa zaidi![]()
![]()
so jumanne?
Haya osie Maa timtogoe zumbe hambu leo njumapiiHaya mghosi hamna mbui.
DahHaya osie Maa timtogoe zumbe hambu leo njumapii
Ilikuwa njema sana. Sijui kwa upande wako ShemPoa Shem.. Uko poa ww?
Naamin ibada yako ilikuwa njema
Tunamshukuru mungu iko poa sana, sijui huko mkuu?Jumapili inaendaje huko ulipo??
Basi achana na mahusiano yangu na lizziebettieaggyjay mbona yupo mwingi sana.
Yupo ananisaidia kulikes comment za raia hapa.