Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Bro mbona unanifuatilia.Nimekuona darling.
Bro mbona unanifuatilia.Nimekuona darling.
Kwani mie nimefanyeje tena?Basi achana na mahusiano yangu na lizziebettie
Simba 0-2 AzamMechi kali za leo Jumapili
Simba Vs Azam
Man Utd Vs Leicester City.
Hujambo mrembo.Sijaolewa alaf mie mahari unitumie kwa western union, haya utatoa ngapi?

Jifanye kama hujui vileKwani mie nimefanyeje tena?
Mkuu naona unajipendeleaSimba 0-2 Azam
Man Utd 2-1 Leicester city
Ama kweli ni kikwenu maana sielewi atii.Tulia kwanza tusalimiane kikwetu
Togwa baridi tafadhaliHujambo mrembo.
Karibu naitwa youngblood ndo yule asali ya warembo hapa.
Nikusaidie nini!![]()
![]()
![]()
![]()
Hiyo lazimaMkuu naona unajipendelea
Kwani ndoa yenu imetalikiana?Jifanye kama hujui vile
Hujambo mrembo.
Karibu naitwa youngblood ndo yule asali ya warembo hapa.
Nikusaidie nini!![]()
![]()
![]()
![]()
au hukusoma vizur ulicho quote

Mambo mrembo mutamu?Togwa baridi tafadhali
Endelea kuota mchana kweupe hivi.Kwani ndoa yenu imetalikiana?
Poa handsome mutamu.Mambo mrembo mutamu?
Owkey ngoja tusubir tuoneHiyo lazima
Hamna alie nidanganya ni ukweliNani alikudanganya?
Tusubiri dakika 90Owkey ngoja tusubir tuone
Yaa tusubir ila kwangu mimi man u akikomas zaid ana drooTusubiri dakika 90