Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unajua anko, mimi huwa nina BP, mwanzoni ilikuwa ya kupanda na kushuka, sasa hivi unataka kuifanya ya kutambaa.
Shunie tafadhari njoo uielezee hii B na H kabla sijachukua maamuzi ya kimkakati

Hivi nyie watu msinione nafurahi mnaanza kuniangamiza roho yangu, au nyie sio binadamu jamani isije mkawa ni wageni humu duniani?
Uncle wako anapenda akuone ukiwa kwa ummy
 
Si nilijichanganya wakaniambia eti sina udhu, nikawaambia nina udhuru nikajipigia rakaa zangu mbili nikasepa kumfuata Ashura, si unakumbuka mjomba

Angalizo: Hizi ni story za miaka saba au mitano iliyopita, sasa hivi nimebadilika ila anko wangu hajabadilika
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]
 
Unajua anko, mimi huwa nina BP, mwanzoni ilikuwa ya kupanda na kushuka, sasa hivi unataka kuifanya ya kutambaa.
Shunie tafadhari njoo uielezee hii B na H kabla sijachukua maamuzi ya kimkakati

Hivi nyie watu msinione nafurahi mnaanza kuniangamiza roho yangu, au nyie sio binadamu jamani isije mkawa ni wageni humu duniani?
Nilimaanisha jina la mama Blessedhope
 
Back
Top Bottom