Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Aisee ujue shemela kakuharibu sana mke mwee
Aisee ujue shemela kakuharibu sana mke mwee
Najua shemelaDada yako huyo lakini
Naangalia mieTumoo
Wewe yaani siku yako yajaaaa
Shululu taabu ulinipa jana yatoshaa... Leo beba lawama zakoUnahusika
Ahaaaa mke unafunyua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kulwa na doto wana majina jaman kwan hamjawabatiza
Hapo sawaKwa Tumoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shululu taabu ulinipa jana yatoshaa... Leo beba lawama zako
Endelea na uchocheziBashite
Mpaka apigwe kenzi ndo aeleweMgumu kuelewa huyo
Naomba wimbo
Utamumiza binamu yakoBashite
asante shunie..Karibu sana mpenzi
Hapana mke mwee nimeuliza tuAhaaaa mke unafunyua sana
Hahah..h...haya maombezi yako sina hakika kama unatoaga sadaka.
Hivi kwani wimbo una muda maalum ka taarifa ya ITV...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] pole ObeUnajua anko, mimi huwa nina BP, mwanzoni ilikuwa ya kupanda na kushuka, sasa hivi unataka kuifanya ya kutambaa.
Shunie tafadhari njoo uielezee hii B na H kabla sijachukua maamuzi ya kimkakati
Hivi nyie watu msinione nafurahi mnaanza kuniangamiza roho yangu, au nyie sio binadamu jamani isije mkawa ni wageni humu duniani?
Karibu mwaya jiskie upo majukwaa mengine kuna mambo mengi humu usishangae tuna waume humuasante shunie..
Samahani