Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Shemela wa mimi apa za jioniAisee inaonekana ilikuwa inatisha bora ningeota tu usiku
Hiiii bhinamu wangu kabisaa ??Binamu Baba D
Kataa wito usikatae nenoHeh! Yaani hata pole hufikishi kisa nimetoa ushauri!?
Kataa ushauri, fikisha pole
Msaidie binamu yakoBasi binamu sifikishi vyote
Haaaaahaaaa, hiyo inaitwa muzee ya peremende....si unamkumbuka yule mganga uliyenipeleka pale niliponyimwa mshahara ?
Huyo huyo yule ambaye ulitaka kumtorosha msaidizi wake kile kidada cheupe
Ila ulinisaidia sana, yaani dawa nikawa napewa bure, kananiita shemeji kumbe wewe anko wangu
Kwa sauti ya juu...oh, hivi Mimi ndo niliandika hayo, niliptiwa tu nashetani sasa kaniacha hapa nakunywa chai na croissant ndo nimejua kuwa wewe ni mshauri wangu mzuri nakutegemea sana.
Tukienda ile safari yetu itabidi tumkemee shetani
Yeye ni mtu wa nani vileBinamu safari itakuwepo endapo utabadilika Mama ni mtu wa Mungu kabisa

Binamu yako huyo huyoHiiii bhinamu wangu kabisaa ??
Safi shemela wangu za we apoShemela wa mimi apa za jioni
Ahhaha shemela halaf mama alikua anashida na no yako ebu mpm ukipata mda
Aisee6/Yenisei River![]()
![]()
![]()
Unapatikana huko China
Unaandikwa pia kama Yenisey
Upo kwenye jimbo la Mongolia na unamwaga maji sijui unatokea bahari ya Aktiki
Una urefu wa Km 3487
.
.
Na huu ungekaa huko nyuma
Ndiyo maananikasema kwenye utanguluzi watu wanapishana mito waipimaje
.......
Muulize shunie au lee?Sijui
Ahahha mtu wa kidunia binamuYeye ni mtu wa nani vile![]()
![]()
![]()
Nzuri kabisa shemela wangu wa ukweliSafi shemela wangu za we apo
Ndo maana napendaga kutia timu kapuku ...hivi mod hawaoni picha inayodisplay kwenye uzi wa likes....mpaka aibuu
Sorry najua sikutakiwa kusemea uku