Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Kila mtu kwa wakati wake jamaan we chagua tu hata kama mie nimechaguaLeo zamu yangu kuchagua
Kila mtu kwa wakati wake jamaan we chagua tu hata kama mie nimechaguaLeo zamu yangu kuchagua
Ya kutofikisha salama za bhinamu wanguHasira ya nini tena jaman
Nitafikisha basiYa kutofikisha salama za bhinamu wangu
Duuuuu hatari saanaaDuuh
Hivi 4700 ni safari ya Songea kwenda Rorya na kurudi eeh?
AminaaaNitafikisha basi
Ebhu piganaaKila mtu kwa wakati wake jamaan we chagua tu hata kama mie nimechagua
Labda wamelalaNdo maana napendaga kutia timu kapuku ...hivi mod hawaoni picha inayodisplay kwenye uzi wa likes....mpaka aibuu
Sorry najua sikutakiwa kusemea uku
Prove it..

Pouwa..Ni vizuri
Hapana baba d siwezi hizo mamboEbhu piganaa
Ata ukinifumaniaaHapana baba d siwezi hizo mambo
Eti ee...?!Anakudanganyaa tuu

Hahahaa7/Ob River![]()
![]()
![]()
Ni mto unaoitwa pia Obi
Ni nto maarufu huko Urusi sehemu ya magharibi kwenye jimbo la Siberia
Ni mmoja kati ya mitomitatu inayomwaga maji kwenye bahari ya Aktiki mingine ni Lena na Yenisei
Una urefu wa Km 3650
.
.
.Leo nimevuruga namba hivyo ungekaa huko nyuma
.......



Unajua maana ya hiyo emoji...
Kuuumbeee....!!!Ndo huwa zakee huyuu
Iweke niione kwanzaNiiweke huku ?
Waganga wapiiii
NdioooEti ee...?!![]()
Heh! Yaani hata pole hufikishi kisa nimetoa ushauri!?
Kataa ushauri, fikisha pole
