mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,700
- 9,070
Afadhali hukuleftNani Kala ban
Afadhali hukuleftNani Kala ban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila binamu basi tu jamana
[emoji101] [emoji101]Yule Mke mwenzio je?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wa kwanza wa kwanza tu sijamkuta na mtu kwahiyo ni wa kwangu pekee angu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kweli aisee, labda tumuulize husna muba alikuwa anampa nini hivi
Nalijua hilo binamuNivumilie tu, hamna namna huyu mjomba wangu ni kivuruge kweli
NipooooAfadhali hukuleft
PoaaaWe ukienda utajua dada
Kheee simu yenyewe sijui ipo wapi ebu ngoja niitafute kwanzaChaaaa Mie nimesikipuuu bhanaa.... Shunie pokea Simu
Sawa shemela wanguBasi shemela usitamke tena B
Kweli mke mwee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
BabeKuwa mpole atakuuliza..
Obe ktk ubora wakeMpe pole kwa kuumwa miguu, kiuno (nyonga) vipi hakimuumi?
Nawaangalia tu, msilolijua ni usiku wa giza, PhD nimegraduate, nafanya masterPhd.
Usisahau kumpa pole BH, hospital wakishindwa aende kwa waganga
lee empire nakuona tu anko na mipango yako kharamu, kwanza usharudi tukae kimkakati kama timu
My love[emoji101] [emoji101]
WoyooooooooNipoooo
Naanzzaje kuacha tamuuuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Waganga hawana nafasi binamu na pole yako simwambii
Ila nimemwambia mama mchuchu kuhusu pole ya binamu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee hatari sana3/Yangtze River![]()
Ndio mto kinara barani Asia![]()
Unapatikana nchini China na kwa waliosoma Jiografia nafikiri mnaukumbuka linapokuja suala la kilimo na kufua umeme achilia mbali uvuvi na usafirishaji
Huko China licha ya kuwaletea wananchi neema ila huu mtu huwatesa kwa msfuriko na wanajuta kuutambua
Una urefu wa Km 6300
.......