Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kumbe unatujuaNever..
Labda nikutane nao kwa bahati mbaya..au mkiona ban zinatembezwa manakuja kudiscuss huku.
Oookey mkuuMe nipo sasa nishakaribia
Sema aliyewekaa kakoseaaHahaaakazi kweli kweli..
Picha gani tena ilikuepo hukoNdo maana napendaga kutia timu kapuku ...hivi mod hawaoni picha inayodisplay kwenye uzi wa likes....mpaka aibuu
Sorry najua sikutakiwa kusemea uku
Bora hujaionaaaPicha gani tena ilikuepo huko
Haya weeKila mtu na nafasi yake mie naita wa kwangu peke angu tu sababu akiwepo nakuwa nae mie tu pekee
GoodWa kwanza wa kwanza tu sijamkuta na mtu kwahiyo ni wa kwangu pekee angu
Ndio MimiIla wewe
Inawyezekana labda..Duuh
Hivi 4700 ni safari ya Songea kwenda Rorya na kurudi eeh?
Karibu na weweTOP TEN
UPI ni mto mkubwa kati ya Amazon na Nile?
Hilo swali limezua malumbano makubwa wapi wanaoamini ni a amazon sababu tu ya upana na kina chake cha maji ....hawa wapo shihi
Wengine wanaoamini ni Nile sababu ni mrefu kwa umbali....hawa pia wapo sahihi
Wengine wameegemea kusema tu ukubwa wa mto unatofautiana kulingana na chanzo cha mto,mwinuko n.k....watajijua wenyewe
Basi tuangalie mito kumi mikubwa/mirefu zaidi dunia ni
Urefu ninaouzungumzia ni ule ambao unapimwa kwa kulaza rula kuanzia mto unapoanzia hadi kuishia
Karibuni
.......
Aisee inaonekana ilikuwa inatisha bora ningeota tu usikuBora hujaionaaa
Mpe pole kwa kuumwa miguu, kiuno (nyonga) vipi hakimuumi?
Nawaangalia tu, msilolijua ni usiku wa giza, PhD nimegraduate, nafanya masterPhd.
Usisahau kumpa pole BH, hospital wakishindwa aende kwa waganga
lee empire nakuona tu anko na mipango yako kharamu, kwanza usharudi tukae kimkakati kama timu

Nakuona tu anko kwenye mipango yako kharamu.
husna muba usiwasikilize, wana wivu hawa (kwa sauti ya jumanecha)

Anakudanganyaa tuu
Hapana Baba D acha tu sihitaji kujua tena![]()
![]()
![]()
![]()
Muulize T