Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asantee
Asantee
Huyu ndo cheupe wangu nimjuayeee
Binamu naomba nichague nyimbo jamaaanInaweza kuwa hivyo but inaweza kuwa Uchu, kuwa na uchu juu kitu au mtu
EwaaaaaaaaaHuyu ndo cheupe wangu nimjuayeee




ngoja waje wenye hatimiliki yao wa hilo neno
Wakafieee hukooo ..nyambaaafuuu zaooEwaaaaaaaaangoja waje wenye hatimiliki yao wa hilo neno
Baba D sitaki kumuuzi sakayo amepumzika sasa hivi masikiniWakafieee hukooo ..nyambaaafuuu zaoo
Mmh basi aniwekee if ya davido![]()
![]()
![]()
shusho hawekii
Kwa wasiofahamu wanyama kama mbwa wana uwezo mkubwa wa kung'amua dalili za tetemeko sababu wanasikia mawimbi/mtetemo kutoka umbali mrefu ardhini![]()
Hata Kagera ilikuwa hivyo ila kutokana na "ushamba" wa wabongo wakawadharau mbwa na kuwaona vichaa jinsi walivyokuwa wanakimbiakimbia na kubweka matokeo yake wanayajua wenyewe
End
.....
..........
kuuuuumbeeee!!!!!!UongooooHivi haya ni ya kweli eeh?![]()
Never..na we si unakujaga kuchungulia
DuuuMore pictures with panorama effects..
![]()
![]()
![]()
![]()
Duuh9/Congo River![]()
![]()
![]()
Kama jina lake linavyosomeka unapatikana huko kwa wakongomani ila pia huitwa Mto Zaire
Ni mto wenye kina kirefu cha maji barani Afrika na kama kawaida kuna samaki bila kuwasahau mamba...una kina cha futi 720
Ni mto wenye urefu wa Km 4700
......
Nazidi kujifunzaHilo ni kweliii ...hawa viumbe wana uwezo mkubwa wa kudect kinachotoka ndani zaidiiii hasa zile wave muhimu na hatari zinazosababisha haya majanga....viumbe wengi mfano panya ...mbwa ...nyoka ..centipede wanauwezo mkubwa wa kuditect zile wave muhimu hasa ni P wave nikimanisha primary wave ambazo nadra sana binadamu wa kawaida kuziditect ....make hizo ndo zinatoka mapema kabla ya zile S wave ...hizi sisi tukizigundua bhasi hao viumbe yawezekana ishapita ata wiki washagundua kitu hikiii...
Ila mechanism ya ni namna gani wanaweza kugundua still ni kizungumkutiiii....
Prove it..Uongoooo
HahaaaNdo maana napendaga kutia timu kapuku ...hivi mod hawaoni picha inayodisplay kwenye uzi wa likes....mpaka aibuu
Sorry najua sikutakiwa kusemea uku


kazi kweli kweli..