Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila binamu basi tu jamana....si unamkumbuka yule mganga uliyenipeleka pale niliponyimwa mshahara ?
Huyo huyo yule ambaye ulitaka kumtorosha msaidizi wake kile kidada cheupe
Ila ulinisaidia sana, yaani dawa nikawa napewa bure, kananiita shemeji kumbe wewe anko wangu