Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Yule Mke mwenzio je?Baba D wa kwangu mimi peke angu![]()
Yule Mke mwenzio je?Baba D wa kwangu mimi peke angu![]()
Wa kwanza wa kwanza tu sijamkuta na mtu kwahiyo ni wa kwangu pekee anguYule Mke mwenzio je?
Ila nyieeeSakayo nahisi ban inanukia ujue ule uzi umefungwa na kuna mmoja kala ban
Ndoo maaana nakupendaa wewe mwanamkeKila mtu na nafasi yake mie naita wa kwangu peke angu tu sababu akiwepo nakuwa nae mie tu pekee
Ila weweYule Mke mwenzio je?
Wa kwanza wa kwanza tu sijamkuta na mtu kwahiyo ni wa kwangu pekee angu

Tumefanyaje tena baba d jamanIla nyieee
Nakupenda sana Baba D wangu mimi apaNdoo maaana nakupendaa wewe mwanamke







Labda hajapona !!![]()
![]()
labda kaponaa
Uzi gani huo ?Sakayo nahisi ban inanukia ujue ule uzi umefungwa na kuna mmoja kala ban
UmeeldwekaHilo ni kweliii ...hawa viumbe wana uwezo mkubwa wa kudect kinachotoka ndani zaidiiii hasa zile wave muhimu na hatari zinazosababisha haya majanga....viumbe wengi mfano panya ...mbwa ...nyoka ..centipede wanauwezo mkubwa wa kuditect zile wave muhimu hasa ni P wave nikimanisha primary wave ambazo nadra sana binadamu wa kawaida kuziditect ....make hizo ndo zinatoka mapema kabla ya zile S wave ...hizi sisi tukizigundua bhasi hao viumbe yawezekana ishapita ata wiki washagundua kitu hikiii...
Ila mechanism ya ni namna gani wanaweza kugundua still ni kizungumkutiiii....
Mmu hukoUzi gani huo ?
Nikiona sehemu ina Shari napishawajuaji waendelee
.....
Mmewachokozaa watuu hukooTumefanyaje tena baba d jaman
Emojiii hizo jamaniiNakupenda sana Baba D wangu mimi apa![]()
Hilo jukwaa niliachana nalo kitamboMmu huko
AsanteeTOP TEN
UPI ni mto mkubwa kati ya Amazon na Nile?
Hilo swali limezua malumbano makubwa wapi wanaoamini ni a amazon sababu tu ya upana na kina chake cha maji ....hawa wapo shihi
Wengine wanaoamini ni Nile sababu ni mrefu kwa umbali....hawa pia wapo sahihi
Wengine wameegemea kusema tu ukubwa wa mto unatofautiana kulingana na chanzo cha mto,mwinuko n.k....watajijua wenyewe
Basi tuangalie mito kumi mikubwa/mirefu zaidi dunia ni
Urefu ninaouzungumzia ni ule ambao unapimwa kwa kulaza rula kuanzia mto unapoanzia hadi kuishia
Karibuni
.......
Ahahhaha hamna tulikuwa tunapiga story tu kwenye huo uzi tulikuwa wengiMmewachokozaa watuu hukoo
Usiniambie hauzipendi jamaan Baba DEmojiii hizo jamanii
Ni kweli tumepitia mengi tu yatapita ahahha nimecheka ya binamu na phd ya mama mchuchu halaf mama anaumwa miguu masikini yupo tmj ameenda mara moja