shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Akiweka jeHuyo ndo binamu na hapo hajaweka kiroba
Akiweka jeHuyo ndo binamu na hapo hajaweka kiroba
Hivi chuo upo wapi cha diniNimemsikiliza jamaan [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....mengi sana mtayaona na baaadaye mtamuona Mengi wa ITV
Shemela ujue umemwaribu mkeo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Special for?[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji447] [emoji456] [emoji449] [emoji449] [emoji450] [emoji441] [emoji441]
Mi najua unaweza meeengi saaana ila machache tu ndio huyawezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemela una nini lakini ujue nashinda na bibliaHivi chuo upo wapi cha dini
....nami nitawafanya watu Wa mataifa kuwa wanaKhaa a, hata hili songi nalo unalijua
Hivi mimi na wewe tutaendana kweli? Yaani unajua mambo ya kimungumungu wakati mimi ni mtu wa mataifa.
(Msifanye nikatalikiwa)
Anyway moyoni najua tunaendana kama sumaku , una mvuto unanivutia
Binamu obeSpecial for?
Muziki: Jumapili Tulivu
Natumaini umekuwa na wikend njema sana, umejiandaa vya kutosha kuianza wiki mpya, wiki ya kazi. Na kama ilivyo ada, wiki ya kazi Makapuku tunaiheshimu na hata kama hatuna vocha huwa tunakopa salio all in all kufanya kazi na kupata nguvu ya kurudisha mkopo.
Upande wangu nimefurahika na yaliyojiri tangu asubuhi humu, magazeti na shululu , UF/BBC na anko wangu lee empire , historia na Jimena , kile kicard cha kila siku Sakayo bila kuwasahau makapuku wote ambao tumeshiriki katika mijadala kadha wa kadha. Bitoz tumemmiss leo lakini alikuwepo kwa chati, sala na Shunie imekosekana leo. hakijaharibika kitu.
Natamani nimtaje kila Kapuku lakini uwanja wangu ni mdogo sana, maana nimepewa para tatu tu za kupiga blah blah ila wakati mwingine nikipandwa na wazimu naendaga hadi 5 tegemana na siku au nimekula nini.
Muziki sasa, kuna sauti zinavutia kusikiza, na hutokuwa mbishi (ubishi ni kawaida yako mpenzi msomaji-ndo ujue hilo). Sikiza sauti ya kijana wa kizeenji AT na Stara Thomas, unataka kusikia sauti gani nyingine ufurahi? Ya mzee Jangala?
uwe na wakati mzuri na unajua kabisa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa kwa kuwa wewe upo. Na karibuni wageni wote (nimewasahau majina)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ubarikiweeAmeeeen
Plz ebhu tusifikie huko yu know how special you ar in my life
Woiiiiiiii mapenzi ni upofu jamaan chongo utaita kengezaNa hayo machache umeweza kuyavumilia, wewe ni wangu kiukweli. Kila neno litokalo kinywani mwako linanifanya kipofu nisione mengine ila wewe tu
[emoji120] [emoji120] safii sana mpendwa wa binamu....nami nitawafanya watu Wa mataifa kuwa wana
[emoji1] [emoji1] tutaenda tu kidogo kidogo nitakuambukiza mambo ya kimungumungu na utaachana na umataifa
Mpendwa na mpendwa wakeNiweze nini kwanza kabla sijajibu, maana kuna mengi sana siwezi na machache naweza
Na wewe pia mpendwa wa binamu[emoji1] [emoji1] [emoji1] ubarikiwee
Binamu jamaaanDadaaaaadeki, unacheza na aunt yangu, ukimaliza kizungu utaongea kiebrania
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio binamu yangu ndio apigwe kwa kuiba mali ya watu