Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Na hipo siku mtakongotwaa na mmeo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Na hipo siku mtakongotwaa na mmeo
KaribuNi mara ya kwanza kuja hapa
Yesu nipe macho nione macho ya roho nipe macho nione sawa sawaNipo nasikilizaa nipe macho nionee ya rafiki yakoo
Nawe pia mkuuUsiku mwema wakuu
Hizo nguo sizitaki kama yange yangeSafari si kama kawaida lakini make nguo zetu zipo kwenye kabatii
[emoji1] [emoji1] hy shedy bwana da eti anamgeza mahondaw[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hurumieni mbavu zangu jamaan
Hapana jamaan hivi unambadilishaje lakiniSi tulisema D tunambadilisha jina
Sasa hivi jamanLeo au??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuonaa
Sio ukweli ila mm simo make nakumbuka milimute...Ni kweli halaf yule ni mama jamaan ni mtu mzima sana
Na nani tena mke mwee T auTumelikoroga hapa nusu tupigwe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na hipo siku mtakongotwaa na mmeo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama yange yange[emoji3] [emoji3] [emoji3]
AiseeeeHuyo ndo binamu na hapo hajaweka kiroba
Asante dada pole na mihangiko ya maishaPole na uchovu wa safari kaka ake
Asante mpendwa kwa song matata kabisaa
Ila hapo kwenye hivyo"ewe mtuliza bahri" aisee umenikumbusha sana
Hebu ngoja niuimbe katka roho na kweli huku nikimtafakari bwana mungu kW matendo yake makubwa anayonitendea
Ewe mtuliza bahari eeeee........
Ewe mtuliza bahari tuliza maishax2
Maisha ya maneno maneno tuliza babaa
Maisha ya kuoneana tuliza baabaa
Maisha ya kusema semana tuliz baabaa
Maisha ya vijembe ya vijembe shoka tuliza baabaa aaa....
Ooo hallelujah
AmeeeenAsante mpendwa kwa song matata kabisaa
Ila hapo kwenye hivyo"ewe mtuliza bahri" aisee umenikumbusha sana
Hebu ngoja niuimbe katka roho na kweli huku nikimtafakari bwana mungu kW matendo yake makubwa anayonitendea
Ewe mtuliza bahari eeeee........
Ewe mtuliza bahari tuliza maishax2
Maisha ya maneno maneno tuliza babaa
Maisha ya kuoneana tuliza baabaa
Maisha ya kusema semana tuliz baabaa
Maisha ya vijembe ya vijembe shoka tuliza baabaa aaa....
Ooo hallelujah
Shululu yupo moshi alitaka kumsalmia Sakayo so amemwambia aende waonane mwenye mkewe kachukiaIla sielewiiii.....nini tatizoo