Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jioni ya Gospel:Chain Breaker

Karibu Kapuku mheshimiwa katika muziki wa gospel, huu ni muziki kwa wote Makapuku bila kujali unaamini au kuabudu katika madhehebu yapi. Muziki hutuleta pamoja na kwa kuwa sisi hapa jukwaani hatuna gogoro na imani ya kila mmoja, tunaheshimiana basi muziki usilibe (cementing) heshima tuliyojijengea

Leo tumekosa neno Shunie sijue kenda wapi ila sio ishu, naamini utaburudika. Anaitwa Zach Williams toka US akiimba Chain Breaker, unakumbuka wimbo 'ewe mtuliza bhari eeeh'..


Asante mpendwa kwa song matata kabisaa

Ila hapo kwenye hivyo"ewe mtuliza bahri" aisee umenikumbusha sana
Hebu ngoja niuimbe katka roho na kweli huku nikimtafakari bwana mungu kW matendo yake makubwa anayonitendea

Ewe mtuliza bahari eeeee........
Ewe mtuliza bahari tuliza maishax2
Maisha ya maneno maneno tuliza babaa
Maisha ya kuoneana tuliza baabaa
Maisha ya kusema semana tuliz baabaa
Maisha ya vijembe ya vijembe shoka tuliza baabaa aaa....


Ooo hallelujah
 
Asante mpendwa kwa song matata kabisaa

Ila hapo kwenye hivyo"ewe mtuliza bahri" aisee umenikumbusha sana
Hebu ngoja niuimbe katka roho na kweli huku nikimtafakari bwana mungu kW matendo yake makubwa anayonitendea

Ewe mtuliza bahari eeeee........
Ewe mtuliza bahari tuliza maishax2
Maisha ya maneno maneno tuliza babaa
Maisha ya kuoneana tuliza baabaa
Maisha ya kusema semana tuliz baabaa
Maisha ya vijembe ya vijembe shoka tuliza baabaa aaa....


Ooo hallelujah
Kupatwa kwa mpendwaa
 
Muziki: Jumapili Tulivu

Natumaini umekuwa na wikend njema sana, umejiandaa vya kutosha kuianza wiki mpya, wiki ya kazi. Na kama ilivyo ada, wiki ya kazi Makapuku tunaiheshimu na hata kama hatuna vocha huwa tunakopa salio all in all kufanya kazi na kupata nguvu ya kurudisha mkopo.

Upande wangu nimefurahika na yaliyojiri tangu asubuhi humu, magazeti na shululu , UF/BBC na anko wangu lee empire , historia na Jimena , kile kicard cha kila siku Sakayo bila kuwasahau makapuku wote ambao tumeshiriki katika mijadala kadha wa kadha. Bitoz tumemmiss leo lakini alikuwepo kwa chati, sala na Shunie imekosekana leo. hakijaharibika kitu.

Natamani nimtaje kila Kapuku lakini uwanja wangu ni mdogo sana, maana nimepewa para tatu tu za kupiga blah blah ila wakati mwingine nikipandwa na wazimu naendaga hadi 5 tegemana na siku au nimekula nini.

Muziki sasa, kuna sauti zinavutia kusikiza, na hutokuwa mbishi (ubishi ni kawaida yako mpenzi msomaji-ndo ujue hilo). Sikiza sauti ya kijana wa kizeenji AT na Stara Thomas, unataka kusikia sauti gani nyingine ufurahi? Ya mzee Jangala?

uwe na wakati mzuri na unajua kabisa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa kwa kuwa wewe upo. Na karibuni wageni wote (nimewasahau majina)

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom