Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Tuko pamoja aunt , na kama unamkwaza anko wangu wala usisumbuke unamjua. Dadaake ambaye ni mama yangu alimpaga ng'ombe hizi, tatu, si hakuridhika akataka apewe zizi zima

Tuko pamoja aunt , na kama unamkwaza anko wangu wala usisumbuke unamjua. Dadaake ambaye ni mama yangu alimpaga ng'ombe hizi, tatu, si hakuridhika akataka apewe zizi zima

Basi itakuwa hiyo signMimi hata sikuweka upuuzi wangu ....nilikuwa nawaona nilishtuka mapema
Tuko pamoja aunt , na kama unamkwaza anko wangu wala usisumbuke unamjua. Dadaake ambaye ni mama yangu alimpaga ng'ombe hizi, tatu, si hakuridhika akataka apewe zizi zima

Hakuna mtavaa jeans na tshirtTubadilisheee ??
Shedy c aliachwasio binamu yangu ndio apigwe kwa kuiba mali ya watu
AiseeMlitania sana na akasema ukweli wake kwamba yy hawezi kuitoa mpaka waje watoto wamtolee
Bado tu watu wakawa wanaendelea tu
Ndio akaona anyuti ili asiwakele
Plz ebhu tusifikie huko yu know how special you ar in my lifeKweli ujue
Mi najua unaweza meeengi saaana ila machache tu ndio huyaweziNiweze nini kwanza kabla sijajibu, maana kuna mengi sana siwezi na machache naweza
Naomba utanitumia voice note sijaweza kuangaliaa
mie nishasahau jamanJioni ya Gospel:Chain Breaker
Karibu Kapuku mheshimiwa katika muziki wa gospel, huu ni muziki kwa wote Makapuku bila kujali unaamini au kuabudu katika madhehebu yapi. Muziki hutuleta pamoja na kwa kuwa sisi hapa jukwaani hatuna gogoro na imani ya kila mmoja, tunaheshimiana basi muziki usilibe (cementing) heshima tuliyojijengea
Leo tumekosa neno Shunie sijue kenda wapi ila sio ishu, naamini utaburudika. Anaitwa Zach Williams toka US akiimba Chain Breaker, unakumbuka wimbo 'ewe mtuliza bhari eeeh'..
Hivi jamanii jana si nilikuambia ulikuwa utani wa binamu ndo alikuwa na simu
Binamu unataka shunie wangu anichukiee....njooo ujibu tuhuma
Nooo plz ....![]()
mie nishasahau jaman
Haya binamu ckuiti tenaAsante kushukuru,
Ha ahhahahaha, usiniite Jorowe tena maana kuna majina Husna hayajui na ndo bado asubuhi
Ndo hvoYeee kampenteeeeeeeeee.....asalaaaaareeeeeeeeeh
Kwani alipewa talaka mke mweeShedy c aliachwa
ShemelaBinamuuu yangu mie apaa
sio binamu yangu ndio apigwe kwa kuiba mali ya watu