Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Hiyo ccVip tena afande??
cc husna muba
Nawe pia shemeji sakayoMuwe na usiku mwema..
See you tomorrow guys!!!
Jioni ya Gospel:Chain Breaker
Karibu Kapuku mheshimiwa katika muziki wa gospel, huu ni muziki kwa wote Makapuku bila kujali unaamini au kuabudu katika madhehebu yapi. Muziki hutuleta pamoja na kwa kuwa sisi hapa jukwaani hatuna gogoro na imani ya kila mmoja, tunaheshimiana basi muziki usilibe (cementing) heshima tuliyojijengea
Leo tumekosa neno Shunie sijue kenda wapi ila sio ishu, naamini utaburudika. Anaitwa Zach Williams toka US akiimba Chain Breaker, unakumbuka wimbo 'ewe mtuliza bhari eeeh'..
Pole na uchovu wa safari kaka akeAfandee upooo karibu
Muziki: Jumapili Tulivu
Natumaini umekuwa na wikend njema sana, umejiandaa vya kutosha kuianza wiki mpya, wiki ya kazi. Na kama ilivyo ada, wiki ya kazi Makapuku tunaiheshimu na hata kama hatuna vocha huwa tunakopa salio all in all kufanya kazi na kupata nguvu ya kurudisha mkopo.
Upande wangu nimefurahika na yaliyojiri tangu asubuhi humu, magazeti na shululu , UF/BBC na anko wangu lee empire , historia na Jimena , kile kicard cha kila siku Sakayo bila kuwasahau makapuku wote ambao tumeshiriki katika mijadala kadha wa kadha. Bitoz tumemmiss leo lakini alikuwepo kwa chati, sala na Shunie imekosekana leo. hakijaharibika kitu.
Natamani nimtaje kila Kapuku lakini uwanja wangu ni mdogo sana, maana nimepewa para tatu tu za kupiga blah blah ila wakati mwingine nikipandwa na wazimu naendaga hadi 5 tegemana na siku au nimekula nini.
Muziki sasa, kuna sauti zinavutia kusikiza, na hutokuwa mbishi (ubishi ni kawaida yako mpenzi msomaji-ndo ujue hilo). Sikiza sauti ya kijana wa kizeenji AT na Stara Thomas, unataka kusikia sauti gani nyingine ufurahi? Ya mzee Jangala?
uwe na wakati mzuri na unajua kabisa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa kwa kuwa wewe upo. Na karibuni wageni wote (nimewasahau majina)
Mpendwa njoo ujibu hapa
Ndio maana yake hiyooJamani hajazoea utanii
Unafukua makaburiNzuri mkuu... Habari za Sumbawanga
Au mimi nimwambiee

Nimemsikiliza jamaan![]()
HelloHello tanzania
Na wewe umemkubaliaa ??Amesema akipata mtu wa kumtolea atarudi
Nawe piaUsiku mwema wakuu
Muziki: Jumapili Tulivu
Natumaini umekuwa na wikend njema sana, umejiandaa vya kutosha kuianza wiki mpya, wiki ya kazi. Na kama ilivyo ada, wiki ya kazi Makapuku tunaiheshimu na hata kama hatuna vocha huwa tunakopa salio all in all kufanya kazi na kupata nguvu ya kurudisha mkopo.
Upande wangu nimefurahika na yaliyojiri tangu asubuhi humu, magazeti na shululu , UF/BBC na anko wangu lee empire , historia na Jimena , kile kicard cha kila siku Sakayo bila kuwasahau makapuku wote ambao tumeshiriki katika mijadala kadha wa kadha. Bitoz tumemmiss leo lakini alikuwepo kwa chati, sala na Shunie imekosekana leo. hakijaharibika kitu.
Natamani nimtaje kila Kapuku lakini uwanja wangu ni mdogo sana, maana nimepewa para tatu tu za kupiga blah blah ila wakati mwingine nikipandwa na wazimu naendaga hadi 5 tegemana na siku au nimekula nini.
Muziki sasa, kuna sauti zinavutia kusikiza, na hutokuwa mbishi (ubishi ni kawaida yako mpenzi msomaji-ndo ujue hilo). Sikiza sauti ya kijana wa kizeenji AT na Stara Thomas, unataka kusikia sauti gani nyingine ufurahi? Ya mzee Jangala?
uwe na wakati mzuri na unajua kabisa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa kwa kuwa wewe upo. Na karibuni wageni wote (nimewasahau majina)
Ila sielewiiii.....nini tatizoo![]()
![]()
baada ya kutuuzia kesi kamute