shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Vip kijana, umzima lakiniAisee
Vip kijana, umzima lakiniAisee
AiseeNa mkizingua sirud home tena
Morning shemejiiii languuu pendwaaa mtalaka wa shedy ....![]()
![]()
![]()
Wewe utafukua makaburiii
makaburi tenaWatakupeleka polis shemejiSi nilichukua ile tecno ya mamkubwa alivyo nunua ile iphone
Niko poa niaje wwHusna mzima
Zamani kila kitu kilikuwa ngangari kuanzia vyombo vya usafiri,michezo nayo ilijaa watu wagumu,mapenzi mayo yalikuwa ya kingangari
KaribuAmani ya bwana ikae nanyi nyote daima
Natumai nyote mmeamka salama na kufurahia utukufu wa Mungu siku ya leo.
Napenda kutambua michango yenu wapendwa kwa wapendanao hakika ni fahari kuwepo humu ndani na kupata vitu vipya kila uchwao.
Kwanza niombe radhi jana sikufanikiwa kuleta matokeo ya mechi za jana hivyo nitaanza kwanza kuleta matokeo kisha ratiba za michezo ya leo.
Ahsante na karibuni.
Alime mapalachichiKwa bibi yako kuna kuhusu
Nishapoa mkuuAmani tu hapa..Pole kwa TANESCO kukufanya makinikia maana yamkini umesumbuka mno..!
Niko poaUhali gani kipenzi cha mtaasisi?
Let's goAmani ya bwana ikae nanyi nyote daima
Natumai nyote mmeamka salama na kufurahia utukufu wa Mungu siku ya leo.
Napenda kutambua michango yenu wapendwa kwa wapendanao hakika ni fahari kuwepo humu ndani na kupata vitu vipya kila uchwao.
Kwanza niombe radhi jana sikufanikiwa kuleta matokeo ya mechi za jana hivyo nitaanza kwanza kuleta matokeo kisha ratiba za michezo ya leo.
Ahsante na karibuni.
KaribuTujiandae kwa ratiba za michezo ya leo
Umeme tunalipia ila tunapewa na kunyanganywa km watoto ambao unaweza kuwapa pipi wasipokuamkia unawaporaHeshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu
OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
Poa tu VP wewe shululu Wa tumosa![]()
![]()
![]()
![]()
Mambo vip mpendwa wa Obe
Mndali unawajua panya road na shida zaoBora kuwa panya road nitakuwa nakula kwa jasho kuliko kuchunga mbuzi nishindwe kusoma