Makapuku Forum

Makapuku Forum

Amani ya bwana ikae nanyi nyote daima

Natumai nyote mmeamka salama na kufurahia utukufu wa Mungu siku ya leo.

Napenda kutambua michango yenu wapendwa kwa wapendanao hakika ni fahari kuwepo humu ndani na kupata vitu vipya kila uchwao.

Kwanza niombe radhi jana sikufanikiwa kuleta matokeo ya mechi za jana hivyo nitaanza kwanza kuleta matokeo kisha ratiba za michezo ya leo.

Ahsante na karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom