Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Alikupa au umejipaa ??Si nilichukua ile tecno ya mamkubwa alivyo nunua ile iphone
Alikupa au umejipaa ??Si nilichukua ile tecno ya mamkubwa alivyo nunua ile iphone
Mkituma hiyo karatasi ya malipo nakuja kama hamtaki potezeaJehuri hiyooo itakuponzaaa
Kama unataka kama kuwa huyo hatuwezi kupoteza pesa yetu bureee....Veta sitaki maana nataka kuwa magufuli wa Tanzania sitaki kuwa fundi wa kutengeneza vitu
Nimejipa mwenyewe maana nilijua kaka akirudi ataichukuaAlikupa au umejipaa ??
Au tumpeleke kigoma kwa bibi yake?Bora umelionaa hili litoto litatuletea balaa
Kwa bibi yako kuna kuhusuNigawe tu maana wengine wanalilia watoto wawasomeshe we unataka nichunge mbuzi
Nzuri za weeweeWandugu,habar?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Well doneEURO U19 FINAL
Hongera kwa England mwaka huu umekuwa mzuri kwa upande wao![]()
![]()
![]()
Sasa uza hiyo upate karoNimejipa mwenyewe maana nilijua kaka akirudi ataichukua
Ndo kinachofuataaAu tumpeleke kigoma kwa bibi yake?
Dini badala ya kuunganisha watu naona zinachonganisha watu
Maebdeleo ya sayansi na teknolojiaUF ....
![]()
Kuhusu ATARI nakumbuka nimewahi kuielezea kwenye "Facts about SJ" Transcend akasema hii halikuwa hajui
Nimeamka salama kabisa shemeji, vip weweShemeji umeamkaje
Haya shemeji, uko poa lakini shemejiNiko Moshi...