Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Yeye anapatikana pande hiziAaah leo kila mmoja yuko moshi
Mzima sakayo
Asante shululu Wa tumosa
Jibu zuri mume wangu. Kwanza nani kamnunulia?Sasa uza hiyo upate karo
Morning mkuuMorning bro!
Heshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu
OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
Mambo vip mpendwa wa ObeMbona unachukulia vitu serious mydear? Hapa chit chat tupo kiutani zaidi, tunataniana tunafurahi. So dont take things very serious. Haya mkuu siku njema na maisha mema pia.
Haaaaahaaaa in magu voiceMorning shemejiiii languuu pendwaaa mtalaka wa shedy ....![]()
![]()
![]()
Wewe utafukua makaburiii
Asante shemeji kwa utafiti hewaWakuu mmetokaje kwenye vitanda vyenu
UTAFITI HEWA
Fikiri kabla hujafikiriwa
Jana nimepishana na mamkubwa ukimwona mwambie mi nimesepa nyumbani

Nzuri VP wwHabari za muda huu
Hii ndo nasikia leo
Inashangaza
.....
Niko poa mkuuNzuri VP ww
Kweli kabisa shemejiNi kweli mkuu maana wanasema kuishi kwingi utaona mengi
Sio fikiri kabla ya kutendA?!Wakuu mmetokaje kwenye vitanda vyenu
UTAFITI HEWA
Fikiri kabla hujafikiriwa
Ni kweli wewe ni mama wa emoji