Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika historia

1999 - John F. Kennedy Jr, Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani John F Kennedy Sr anafariki kwa ajali ya ndege yeye pamoja na Mkewe na dada yake.

Anakamilisha vifo tata vya familia ya Kennedy, ambapo wanafamilia wengi walikufa vifo vya kusikitisha kama vile kuuwawa.
 
EURO U19 FINAL
b8920d825c6c5a4ab47c17915b64b672.jpg
Hongera kwa England mwaka huu umekuwa mzuri kwa upande wao
9e6ea4bc1ef097eb0047b113f355b949.jpg
c92c53a471dd2be5b7c9a3669bec517e.jpg
Nyota njema huonekana asubuhi
Hata Wajerumani,Wabrazil na Wahispaniola waliwekeza kwa vijana
Kwakweli mwaka huu ni mzuri kwao...nafikiri wameanza kurekebisha makosa
Congrats England
......
 
Sina la ziada toka maktaba yangu,
tukutane kesho hapahapa kwa Udhamini mnono tena wa nguvu toka kwa Saida Kalori
Niite Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ
Muwe na jumapili njema wapendwa
 
Zamani kila kitu kilikuwa ngangari kuanzia vyombo vya usafiri,michezo nayo ilijaa watu wagumu,mapenzi mayo yalikuwa ya kingangari
Chakula pia

Siku hizi vitu na watu laini laini wazee wa soseji na kutembelea automatic cars hata kutembea kidogo tu shida
.......
Zamani mtu anatembea kilometer 5 kwenda shule na anafauru vizuri tu, sasa hivi wanabebwa kwenye mabus, ukiwauliza kusini ni wapi utakavyojibiwa utachoka
 
Leo katika historia

1999 - John F. Kennedy Jr, Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani John F Kennedy Sr anafariki kwa ajali ya ndege yeye pamoja na Mkewe na dada yake.

Anakamilisha vifo tata vya familia ya Kennedy, ambapo wanafamilia wengi walikufa vifo vya kusikitisha kama vile kuuwawa.
Aisee RIP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom