Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,640
AsanteNimekuelewa Nashukuru kukufaham, maisha mema..
AsanteNimekuelewa Nashukuru kukufaham, maisha mema..
Kwema tu mkuu.. Tunaendelea kujua ambayo tulikuwa hatuyajui hapa dunianiSalama mkuu habar yako
Mama mkubwa nimemwambia kaka Lee akupe taarifa kuwa nimesepa nyumbani sitaki kuchunga mbuzi nataka kusomaAsante
Mngonile pa kunyumbaMonire wandugu!?
Post sent using JamiiForums mobile app
Mzima mamkubwaAsante
Mbona unachukulia vitu serious mydear? Hapa chit chat tupo kiutani zaidi, tunataniana tunafurahi. So dont take things very serious. Haya mkuu siku njema na maisha mema pia.Wasichana wapo wengi Jf haupo peke yako, nitapata mwingine.. na sijipendekezi ujue Am used to be Alone Dear
Ni kweli mkuu maana wanasema kuishi kwingi utaona mengiKwema tu mkuu.. Tunaendelea kujua ambayo tulikuwa hatuyajui hapa duniani
Mi mzima mtoto wangu. Nipo safarini nimesikia umekimbia nyumbani. Kwanini sasa? We mtoto weweMzima mamkubwa
Amani tu hapa..Pole kwa TANESCO kukufanya makinikia maana yamkini umesumbuka mno..!Heshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu
OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
Nataka kusoma kama hutaki nisome bora nikajitegemeeMi mzima mtoto wangu. Nipo safarini nimesikia umekimbia nyumbani. Kwanini sasa? We mtoto wewe
Pole na safar mamkubwaMi mzima mtoto wangu. Nipo safarini nimesikia umekimbia nyumbani. Kwanini sasa? We mtoto wewe
Rudi bwana. Please...nitakurudisha shule tena boardingNataka kusoma kama hutaki nisome bora nikajitegemee
Asante mwanangu.Pole na safar mamkubwa
Nitarudi ukinitumia ile karatasi ya kulipia benk kama huja nitumia na jua unataka nipelekwe police kama mtoto mtukutuRudi bwana. Please...nitakurudisha shule tena boarding
Mungu akutangulie mamkubwaAsante mwanangu.
Yaani unanipa masharti. We mtoto ukoje jamaniiii. Kesho baba yako mkubwa ataenda bank kulipa then akupeleke. Huko uliko usije ukawa panya road. Rudi nyumbani fastaNitarudi ukinitumia ile karatasi ya kulipia benk kama huja nitumia na jua unataka nipelekwe police kama mtoto mtukutu
Amina.Mungu akutangulie mamkubwa
Bora kuwa panya road nitakuwa nakula kwa jasho kuliko kuchunga mbuzi nishindwe kusomaYaani unanipa masharti. We mtoto ukoje jamaniiii. Kesho baba yako mkubwa ataenda bank kulipa then akupeleke. Huko uliko usije ukawa panya road. Rudi nyumbani fasta