Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Para siempreMucha gracious JJ
Para siempreMucha gracious JJ
Huyu jamaa ni fundi![]()
Kazaliwa Basel na FC Basel ndo klabu yake iliyomtoa na anatukuzwa balaa![]()
Kachezea pia Rennes na Borrusia Dortmund
Ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Uswis akiwa na goli 42 katika mechi 84 jamaa ana ratio ya 1:2
......
Hataiweza kabisa wala asijidanganyeMimi nawangalia tu, faini yake sijui kama ataiweza
KaribuAsante ankali kwa leo katika historia
Hapa lazima utakuwa ulikula rushwaUsimfanyiee hivo
Asante kwa picha Beatles![]()
![]()
![]()
Ni mtandao usio wa wauza sura hivyo waswahili huupotezea na kuzamia Facebook na Install
Nasikia bongo Reginald Mengi anaongoza kwa followers ila JK naye yumo
......
Nakusalimia twinitoKaribu
Sina kariba hiyooo ...mmi tena ??Hapa lazima utakuwa ulikula rushwa
Sasa mbona unataka kufanya mambo ambayo hayakubaliki kwenye kikabila chetu?Sina kariba hiyooo ...mmi tena ??
Si unajuaga vile aunt nakupendaga....sitaki ukae nyumban mpaka bibie ashendwe kuleta beki tatu make wewe kila siku upo ...ebu unganeneniii na mr Q bhasiiiiSasa mbona unataka kufanya mambo ambayo hayakubaliki kwenye kikabila chetu?
Hukuamua tu kunitafutaJuzi nilikuwa maeneo yale katiii...nkakumbuka but unfortunately nkashindwa kukupata
Sio kwelii ....ila nageukaaHukuamua tu kunitafuta
Na simuliziAhaaaaaaah niko poa ...siku hizi shululu anayaletaaa.. mm unbelievable facts. ..dondoo za bbc na tetesi za usajilii
Na Darasa huru
Sakayo wa T hbr ykoWivu tuu... Hadi kwangu mieee
Kaka huyooo,pole na safariPamoja kiongozi