Baby..mbona natongozwa hivi? Ni mkosi au kismati?
AhsantePole sanaaa
Huko mpendwa wangu hapawezi kabisaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()





Stwy wala mm sina shida najua kwangu imetulia na kutulizwa.waache wanengenekweee ...Baby..mbona natongozwa hivi? Ni mkosi au kismati?
Utaielewaje wakati unakesha kwenye taarab na vigodoro
![]()
![]()
![]()
......
ndio maisha yetu ya kiswazi hayooo
BadooooKwa wapenda mpira woteee msaaada kwenye tuta
Nasikia Countinho amehama Liver je ni kweli na kaenda timu gani
Mwambie mim yaan wewe ndo namilikiwa na pedeshee leeNimeolewa babu weye..
Picha ya kifundiiii
Ahsante sanaaaaaBadoooo
Ndo maana nakupenda laaziz..nipo busy my si unajua najiandaa na ile safari ya dubai?Stwy wala mm sina shida najua kwangu imetulia na kutulizwa.waache wanengenekweee ...
Nakumis lakin my cookie
Najua tuu swty ...ila najua soon mambo yatakuwa poaaNdo maana nakupenda laaziz..nipo busy my si unajua najiandaa na ile safari ya dubai?
Tulikuwa tunakesha kila New Year pale Mabibo kwa Bibi Cheche na Kigogo au Manzese ila siku hizi imekuwa marufuku![]()
![]()
ndio maisha yetu ya kiswazi hayooo
Vijana mnaita vigodoro
Sisi enzi zetu tulikuwa tunaita"disco vumbi"
Dah kijasho lazima kitokeSwaaf kabisa
Wakivuka nyumba tu watu wanajichinjia
......
Watarudi wengi tuLa 3 ndo litatokea,uzoefu unaonesha hivo na wiki hii tumeona maakirud KITAA
May Allah bless Me and You