Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
KaribuuuJamani tutaonana baadae wanajukwaa
KaribuuuJamani tutaonana baadae wanajukwaa
Nzuriii jombaaaaI am Good mkuu.
Za kwako?
Uwe unasearch mfano sehem ya 29Nikiskip nitamkosa Mr x
Yes nimekaonaYes...
Si unaona kisura kama madenge hivi
si unaona hata ugoko huoo madenge mtupuJamani tutaonana baadae wanajukwaa

Na ubuyu jee nitausachijee??!!Uwe unasearch mfano sehem ya 29
Huyu mama huyuuu
Nilitaka kumwambiaHii editing mkuu
Hbd Mario kempesLeo katika Historia
1954 - Mario Kempes anazaliwa.
Ni mwanasoka mahiri toka Nchini Argentina.
HBD AlexanderLeo katika Historia
1979 - Alexander Frei anazaliwa.
Ni mwanasoka toka nchini Uswizi.
Mie nna madai tangu utawala wa JK,wameyaweka kwenye mafaili tuHuyu mama huyuuu
Hbd danilo, mwanzoni nilidhani ni MrenoLeo katika Historia
1991 - Danilo anazaliwa.
Ni beki wa kulia wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil.
Pole sanaMie nna madai tangu utawala wa JK,wameyaweka kwenye mafaili tu
May Allah bless Me and You
Hongera sana kwa mozillaLeo katika Historia
2003 - kampuni ya Mozilla Foundation inaanzishwa.
Ndio wamiliki wa Mozilla firefox.
Asante,na huyo mama nilimwambia ila ameshindwa kunisaidiaPole sana
Umeamkaje sweetie!Sio kwa misifa hii![]()
![]()
![]()
![]()
Asante
Fact fact tuInshort hakuna upuuzi kama facebunga na insta
Asante ankali kwa leo katika historiaSina la ziada toka toka katika meza ya historia ikiwa leo ni tarehe 15th July 2017 tukutane tena hapo kesho hapahapa KF kwa udhamini mnono kabisa wa Usher Rymond kule Serengeti National Park.
Niite Jimena Jimenes
Hasta La Vista.