Makapuku Forum

Makapuku Forum

43b96532a993baf99891ddf03e21750c.jpg
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kazi kweli kweli
 
Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani. Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.

Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu. Msimlipe mtu ye yote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote. Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.

Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa, asema Bwana.” Badala yake: “Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mnyweshe. Maana ukifanya hivyo, utampalia makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.” Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.

[emoji524] Warumi 12:14‭-‬21

Mbarikiwe sana muwe na mchana mwema [emoji7] [emoji7]
 
Amen...!!
Naona umechukua kijiti cha mama mchungaj[emoji4]
 
Huu ujio wako mpya sio wa nchii hii ....ila ongeraaaaaaaa
 
Amen, Asante kwa neno mtoto wa Mama mchungaji
 
Back
Top Bottom