Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia
1954 - Mario Kempes anazaliwa.
Ni mwanasoka mahiri toka Nchini Argentina.
Alikuwa ni straika jembe...kama kawaida ya vimo vifupi vya wachezaji wa Argentina jamaa alikuwa na futi 6 kamili kwao ni mrefu
Ni baba wa watoto watano
Katika mechi ya fainali WC 1978 alifunga goli mbili na kubeba ndo...pia akaondoka na Golden Boot
......
