Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Asante shemela ubarikiweAmen, Asante kwa neno mtoto wa Mama mchungaji
Asante shemela ubarikiweAmen, Asante kwa neno mtoto wa Mama mchungaji
Ndo style yako mpyaa ??Asante barikiwa
Vp shemela
Lazima ucheke nahisi mnaona haviwezekaniki jamaanNimejikuta nachekaaaa.....![]()
![]()
![]()
![]()
Najiulizaaa tuuJamaan![]()
![]()
Hiki kicheko cha amaniii kabisa kumuona mpendwa wangu anaanza kutoa nenoVp shemela
Style mpya ya nini sasa jaman kama hamtaki maombi mniambie jamanNdo style yako mpyaa ??
Ni mimi Shunie yule yule Baba DNajiulizaaa tuu![]()
![]()
![]()
Ebhuu nisaidie na wewe ....weee ndo nikujuayeee au ??
Vinawezekanikaa mbonaLazima ucheke nahisi mnaona haviwezekaniki jamaan
Napinga mpaka keshooNi mimi Shunie yule yule Baba D
Nipo sinza wanapokaa perege ndio nilipoandikia mimiVinawezekanikaa mbona![]()
![]()
![]()
![]()
Unaandika wewe au upo kigambonii
Ya kwako hatuyatakiii tunataka ya mama mchuchuStyle mpya ya nini sasa jaman kama hamtaki maombi mniambie jaman
AiseeeHiki kicheko cha amaniii kabisa kumuona mpendwa wangu anaanza kutoa neno
Uko poa lakini shemela wangu wa ukweliAsante shemela ubarikiwe
Afate taratibu zote sasaSi unajuaga vile aunt nakupendaga....sitaki ukae nyumban mpaka bibie ashendwe kuleta beki tatu make wewe kila siku upo ...ebu unganeneniii na mr Q bhasiiii![]()
![]()
![]()
![]()
Zama za mabadiliko wanakabila watanisamehe
Kwa nini upinge sasa bada ya kushkuru unaanza kupingaNapinga mpaka keshoo
Mama mchungaji anajua malezi
Sawa kwahiyo wewe hutakiii ngoja niangalie na wengine wasiotakaYa kwako hatuyatakiii tunataka ya mama mchuchu