Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sababu haupo kuleSijawahi kuielewa twiter
Sababu haupo kuleSijawahi kuielewa twiter
AiseeKFF wameipanga ratiba yao vizuri sana
Sio maneno 140 ni HERUFI(characters) 140Kwa utafiti wangu usio rasmi nimegundua wabongo wengi wapenda maneno mengi swaga nyingi kule hakuna maana maneno kwenye posti nzima ni 140.
Marudio yatafanyikia kwao wasipopeleka tena adhabu kali itawashukiaNahisi Sudani hawatocheza hiyo match..
Ona wamewekewa O goal score
Ahaaaaaaah niko poa ...siku hizi shululu anayaletaaa.. mm unbelievable facts. ..dondoo za bbc na tetesi za usajilii
Na Darasa huru

Hiyo game ilichezwa tarehe 24/7/2014Hiii katibu ni kweliii ?,
Naona welbeck na Rooney ...
Naona Milan wanataka kurudi kwenye kiwango chaoJamaa huwa linakaza haswaa
Rudiger huyoHuyu nani bakayoko ama?
Happy life
Hakika mkuu, ni kushukuru MunguKuna watu wana vilema vya maisha.
Mi namshukuru sana Mwenyezimungu kwa afya njema
May Allah bless Me and You
Hope this is JOKE![]()
Don't take me serious..
Utaielewaje wakati unakesha kwenye taarab na vigodoroSijawahi kuielewa twiter
Si ujanja wetuHakika mkuu, ni kushukuru Mungu
Pamoja kiongoziAhsante kamanda wa utafiti
Aisee inashangaza hiiDHK. ...
KWA WALE WAPENZI WA KAHAWA
.......Unywaji wa kahawa hurefusha maisha
Ni habari njema kwa watumiaji wa kahawa, kwani utafiti uliofanywa hivi karibuni , umebainisha kwamba watu hao wana uwezekano wa kuishi maisha marefu zaidi.
Utafiti huo unaeleza kwamba watu wanaokunywa kati ya vikombe viwili na vitatu, hupunguza hatari ya kifo kwa asilimi 18 wakilinganishwa na wale wasiofanya hivyo.
Kiongozi wa utafiti huo, Profesa Veronica Wendy Setiawan wa Chuo Kikuu cha Southern Califonia (USC), alisema licha ya tofauti ya mfumo wa maisha, hali iko hivyo kwa makundi yote.
Matokeo hayo yanaonyesha uwapo wa uhusiano mkubwa kati ya matumizi ya kinywaji hicho na maisha marefu kutokana na kupunguza uwezekano wa maambukizi ya maradhi ya moyo, saratani, mfumo wa kupumua, kisukari, kiharusi na figo.
Utafiti huo uliwashirikisha zaidi ya watu 185,000 wa asili tofauti kwenye majimbo mbalimbali nchini Marekani na matokeo yakawa sawa.(CNN)
VipiMmmh wereva mmmh
Lazima niangalieLast game LA Galaxy vs Manchester United
![]()
Next game ni kesho alfajiri saa 11 kamili.