fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
Poa Mkuu, pande zipi?Faka, mambo!
Poa Mkuu, pande zipi?Faka, mambo!
Nakuona JJHahahahaha basi sawa Obe. Kama hutajali leo tupia zote mbili maana zote nazielewa sana
Dj Obe (in Ximena's voice)
Cant wait
T G I F
Kama kama zee lililofilisika
Ratiba iko sawa, tutoke tu maana hamna namna sasaWeekend imekaa pouwa, ratiba yako ikoje leo jioni? Nataka nikutoe.
Rudisha avatar yq zamaniMmmmh
Leo katika Historia
1987 - Adam Johnson mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uingereza anazaliwa.
Amewahi kucheza Man City, Sunderland kabla ya kufungwa jela kwa kosa la kubaka binti mdogo.
Asante Nyagei leo niko kiwikiend zaidiNakuona JJ
Mkuu niko roadini from dar to arPoa Mkuu, pande zipi?
Ah ah aaaaa wewe Dj Obe sasa unataka kuharibu.. Mi ni Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ acha kuexegate sasa![]()
![]()
Hebu niassist buku 10 basiNisiwe mchoyo jmn
Endapo kuna mdau anapata shida ku TRADE FOREX
anicheki ni mwa assist free as kf member

Huyo ndiye Web![]()
![]()
![]()
Refa mapenati ni wa Manchester?
Mashabiki wa Utd tunamjua alivyokuwa anatubeba kiasi cha kudaiwa ni "mtu wetu"
Alikuwa pilato wa mechi ya Fainali WC 2010 pale Sauzi akaharibu
Tukio linalokumbukwa ni aliposhindwa kumpa red Nigel de Jong aliyemrukia teke la kifua Xabi Alonso
......
Ngoja nikuletee ngoma flani hivi ukumbuke enzi zako maana najua we ni mhenga mwenzanguHahahahah, sijaexaggerate wala kuexcreate , it's Friday buddy na siku zote kwangu maisha ni rahisi leo.
Nimekupata Jimena Jimenes
Nafikiri utaishia kumwona tu, si ndio mkuu!Nakuona JJ
What's upHello