Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Mtaasisi on fleekAsante kwa hii info kuhusu Kidjo, ni mshindi wa Grammy huyu na anatajwa sana kuwa ni mwanamuziki maarufu zaidi Africa, anaishi US
Nilimuona akiimba Davos kwenye mkutano wa 'likes' kwenye jukwaa la uchumi. Napenda Wombo Lombo leo nitarusha hiyo Agolo.
Yeye na Youssou ni wanamuziki wanaonivutia sana
BTW, 'mkuu' sio mimi (joke) mimi ni mdau, mtaasisi na ili usichoke sana refer me as Obe