Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning Tena wakuuu!


I love this forum!

Lee njoo kaka! This was a morning warm up

Shunie;

Usilie tena dada, nilitaka nijue kama unampenda leee


Afu forum imechangamka kidogo...!


Relax sasa! Afu mimi sijabadili avatar yangu...


Lee empire and shunie love you all...

Asante kwa morning warm up!
Morning warm up
 
Muziki: Jina Lako Linafanana na Muziki

Ni usiku sasa na muda unakimbia kweli kweli, hizi mbio za leo ni za kuitafuta Furahiday. Pamoja na siku kukimbia sana leo sitoacha kukusalimia Kapuku mheshimika maana salamu ni nusu ya kuonana, wale wa Radio Tanzania Daslam mnakumbuka hili. Usijidai mdogo wakati umezaliwa miaka ya 80, 90s, miaka hii yote RTD ndo ilikuwa radio namba moja na vipindi maarufu vilikuwa Mama na mwana na kile cha Salamu kwa Wagonjwa.

Hivi unajua kuwa uwepo wako hapa unaniongezea maarifa mengi sana, maana najifunza kwa kila unachoandika. mtu makini huheshimu na kujifunza kile ambacho mwingine anaandika au kusema. na hili ndilo linaifanya KF kuwa ni sehemu ya kipekee kabisa, full maarifa, full kuelimishana, full kuloviana, full kujamiiana (socializing stop tantalizing) na zaidi full kuwa pamoja bila kujali nani ni nani.

Muziki sasa, sijachelewa sana leo kuleta muziki na hata kama nimechelewa ni kwa sababu lingekuwa ni tumbo langu peke basi ningewahi lakini kuna matumbo matatu yani nisiporudi nimebeba japo mkate jua staftahi nitastafuhiwa mimi. Kifupi nilikamatika lakini hakijaharibika kitu.

Hivi unajua jina lako linafanana na muziki, ziba pua halafu litamke taratibu, na ukiweza litamke kwa kupiga mluzi (kama una mapengo jaribu mbinu mbadala ya kubananisha fizi na mdomo wa juu, halafu litamke taratibu. Hapo utasikia jina lako linafanana na muziki. Lisipotamkika kimuziki basi inawezekana wakati unaumbwa wazee wako walikuwa wanasikiliza taarifa ya habari.



Kama huamini basi hebu sikiza huu muziki Whats love got to Do, kama hutasikia Husnaaaaa na hii ni kwa husna muba

Nakupenda sana Kapuku

yaani mpendwa wangu wallahi mungu akuweke unajua kunifurahisha kwa kweli

Asante sana
 
Shimba ya buyenze umeamkaje

Ngoja nikutoe shaka, bitoz hajaanza leo kuwataja wasukuma au jana, tangu huu uzi umeanza mara nyingi hupenda kutaja wasukuma nani kwa utani si kwamba kwa sababu wewe upo au haupo hapana

Mpaka mimi ilifikia wakati wakati nikawa namtania kwamba lazima aoe msukuma maana si kwa mahaba hayo kwa wasukuma
Kifupi bitoz anawapenda sana wasukuma

Ndio maana hata jana alisema kiutani tu kuwa ile jamaa haipo, akiwa na sababu kuwa uje, na kweli ulikuja, sema ulikuja na tafsiri tofauti
Ni mambo mengi huchangia mapokeo yakawa mazuri au mabaya.

Naamini Mr SHIMBA YA BUYENZE alipokuwa na tension aliyokuwa nayo ndio ilipelekea mapokezi kuwa mabaya.

But all in all let love lead us all
 
9a1780eea1c8933fffe3c4f63bf0de85.jpg
Sema "star" wa Makapuku. Mambo? Ile mtu ya Koromije isipokuwepo kwenye thread yako hii unafurahi sana ama? Kabla hujaisema si angalau uiite basi kama una ubavu? Binadamu!
Kumbe hiyo mutu ni wewe shemeji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom