Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nawe pia mkuuView attachment 540937Kwa udhamini mnono wa Wayne Rooney kuja Tanzania na timu ya evaton na kuitangaza nchi yetu
Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Nawe pia mkuuView attachment 540937Kwa udhamini mnono wa Wayne Rooney kuja Tanzania na timu ya evaton na kuitangaza nchi yetu
Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Tatizo ratiba yao mbaya
Ingekuwa week end ningeenda
Ila leo hata iwe bure siendi
......

JF kila mtu ana force king.. unasoma riwaya inakubembeleza kulala.. mizuka is equal to zeroMimi sikusoma kwa ajili ya mitihani bali hobby tu
Hata now vitabu vimejaa mitandaoni nikiwa free nasoma na siyo kusubiri riwaya ya kikanjanja za JF
![]()
![]()
![]()
.......
Ahsante mdau
Siku hizi meza za magazeti tumewaachia washamba kitaa wanasimama na kujazana km nzi na kutushangaa ambao hatukodoi macho kumbe wajanja tushasoma kupitia KF
![]()
![]()
![]()
.....

Da kweli kabisaaWakuu habari zenu
UTAFITI HEWA
Ukiwa huwezi kuamua jambo kwa akili zako basi tegemea kuwa mzigo kwa familia yako
Kwa udhamini wanguasante mkuu Jimena.. kesho sijui itakuwa kwa udhamini wa nani!

Kwenye fuvu LA MTU Wa kale?! Hiyo hata nilioishia LA saba naikumbukaaItabidi tukurudishe Olduvai Gorge
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Safi maamboHeshima kwenu hapa Kijijini
Yuko poa tuMpendwa wa Obe, yuko poa lakini
Mimi sikusoma kwa ajili ya mitihani bali hobby tu
Hata now vitabu vimejaa mitandaoni nikiwa free nasoma na siyo kusubiri riwaya ya kikanjanja za JF
![]()
![]()
![]()
.......

KuuumbeeMswahili Floyd Mayweather Jr tayari ni tajiri now anatafuta tu mkwanja wa Mwisho mwisho wa kulala na watoto wazuri
Hivyo hawezi tena kupigana Kwa hasira au kujituma Kwa % zilezile za zamani
Ngumi ni Kwa ajili ya maskini
.....
OhoooMbona Kijiji hiki yaelezwa kuwa kuna ufisadi je ni kweli?
Ile ya ngurumo na kijana mangasini au?!Umemiss laa ! Laala! Laala! Laa..
![]()
Mi Niko poa tuHabari za asubuhi mazeiya..
Hope mko gudi...
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
-Mond-
Shemeji za mchanaMkuu mzima?
Niko poa shemeji, habari za mbeyaShemeji mzima?
Haya bwanaHawezi kufanya chochote maana ukweli utabaki kusemwa