Kumekucha salama kabisa mtumishi wa MunguKumekucha watu wa Mungu
Kwelii kabisaaKumekucha watu wa Mungu
AsanteeTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Asante mkuuView attachment 540937Kwa udhamini mnono wa Wayne Rooney kuja Tanzania na timu ya evaton na kuitangaza nchi yetu
Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Chelsea msimu huu wanazengua kufanya maamuzi ya usajili ....Bakayoko ndo hivo kila siku maneno ...View attachment 540932Lee kazi kwako
....spidi za huyu jamaaa weka vyengaa vya Hazard na shoto la pedro .....hasikwambie mtu tutachukiwa na wengiii
Kwema huko nduguKumekucha salama kabisa mtumishi wa Mungu
Amen shukran..!!Ubarikiwe mtu wa Mungu
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Asante LeeTuwe na siku njema. ...muhimu tusijisahaulishe majukumu ya msingi ....![]()
Asante shemeji kwa magazetiView attachment 540937Kwa udhamini mnono wa Wayne Rooney kuja Tanzania na timu ya evaton na kuitangaza nchi yetu
Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Asante kwa Simulizi UF na dondoo za bbc Rafiki kipenz.Asantee mama mchungaji na karibu
tuko pamojaView attachment 540937Kwa udhamini mnono wa Wayne Rooney kuja Tanzania na timu ya evaton na kuitangaza nchi yetu
Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Asante mkuu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo.View attachment 540937Kwa udhamini mnono wa Wayne Rooney kuja Tanzania na timu ya evaton na kuitangaza nchi yetu
Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Sisi tunamshukuru mungu... Sijui weweNaamini nyote mmeamshwa salama