Makapuku Forum

Makapuku Forum

UF...
acacaa4ca67717e1e867f8770fa148a8.jpg
Huyu mdudu shida sio kula tu bali anapiga hatari
....
 
In summary. ...

Aliyekuwa rais wa Brazil, Luiz Ignacio Lula da Silva, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa kwa mashtaka ya ufisadi.

Leo klabu ya soka ya Everton kutoka Uingereza inacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Timu ya Gor Mahia kutoka Nchini kenya

Mashindano ya riadha yanaendelea nchini Nairobi, Nchini Kenya, mamia ya vijana hufanya mazoezi kila siku ili kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi.

Malkia wa rhumba duniani Mbilia Bel alikonga nyoyo za washabiki wake alipozuru Kenya wiki iliyopita , na kuwatumbuiza jijini Nairobi na Kisumu..
Mwanzo nilifikiri mechi ya Everton ni week end nikapamga nitafute tiketi kumbe ni Leo kazi kweli kweli sitakwenda
.
.
.
.
Shukrani mdau
Asubuhi njema
.....
 
View attachment 540937Kwa udhamini mnono wa Wayne Rooney kuja Tanzania na timu ya evaton na kuitangaza nchi yetu

Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Ahsante mdau
Siku hizi meza za magazeti tumewaachia washamba kitaa wanasimama na kujazana km nzi na kutushangaa ambao hatukodoi macho kumbe wajanja tushasoma kupitia KF

.....
 
1
Chelsea msimu huu wanazengua kufanya maamuzi ya usajili ....Bakayoko ndo hivo kila siku maneno ...

Ila mfano dili imetikiiii....

Weka kwanza akilini kwanza ..Hazard akae winga , Pedro/willian ndani ...moses ndaniiii ....alonsoo ndaniiiii ...Mkata umeme Kantelee ndaniiiii ....sijamaliza Bakayoko ndaniiiiiii ....bwanabwanaaaaaaa nyuma sina hata la kuongeza mawazir wa ulinzi wanajitoshelezaa....
32131f4eff129d582f6a5c3f5a9988cf.jpg
0c098f5527f8878c504cebbcb6d960cf.jpg


Turudi kwenye mada ....spidi za huyu jamaaa weka vyengaa vya Hazard na shoto la pedro .....hasikwambie mtu tutachukiwa na wengiii


Nawaza tu ....


Ila cha kufanya ngoja nifanye ku subscribe kwenye acount zake ...
68cc188a108240efdf4ec19848772a9b.jpg

cdbb0b7de29e57bec8c0533dd0eb2c52.jpg
Antonio Conte ubingwa ushamlevya anajiona timu imekamilika na kuzubaazubaa tu sokoni
Next season mambo yatakuwa magumu
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom