Makapuku Forum

Makapuku Forum

A Grain Of Wheat,The River Between,Betrayal In The City,Chike And The River,I'll Mary When I Want .....Kwa waliosoma sayansi A level fasihi imewapita kushoto japo mimi sikusoma HGL,HKL wala HGK Ila vitabu nilisoma Kwa kuibia kwa washikaji pia Library
...
hapo nilisoma Betrayal In The City tu! iyo ilikuwa o level na hata maudhui yake sikumbuki sasahiv
 
NUKUU YA LEO

i just want to say a massive thank you to everybody at manchester united,thank you to the board over years, the managers and coache's i hav played under,the staff i hav worked with, the team mates i hav played alongside,and finaly the amazing fans that i hav been lucky to play for . Thank for the memoris

Nitoe shukrani zangu nyingi kwa kila mmoja klabuni Manchester United, wakurugenzi wa bodi kwa miaka niliyokuwa hapa, mameneja na makocha niliofanya nao kazi, stafu niliofanyana nao kazi, wachezaji wenzangu niliocheza nao, na mwisho mashabiki ambao nimebahatika kucheza kwenye klabu yao. Asanteni kwa ukumbusho huu


Haye maneno yametamkwa na mwanasoka wa kiingereza na kipenzi cha klabu ya man united na everton za uingereza Bw. Wayne Mark Rooney .

Rooney alizaliwa October 24 1985 katika jiji la liverpool nchini uingereza.

Rooney amecheza michezo 77 akiwa na everton na kufunga magoli 17 tuu, amecheza mechi 559 na kufunga magoli 253 akiwa na man united.

Rooney anashikilia rekodi ya ufungaji wa magoli mengi zaidi klabuni MUFC na Time ya Taifa.

Leo atakuwa anacheza mechi ya 78 na timu ya Everton dhidi ya Gor mahia ya kenya, baada ya kurudi katika Club yake ya zamani ya Everton.

Leo Baba kai au (R10) au Wazza atakuwa Taifa pale..
f3e7f9f9790935c743999348edc2a038.jpg
a59cc6376bd588bc61d27f0d99fce0fb.jpg

894cf14c114482d21a44de925bbf77a5.jpg


Kwa hisani ya Bitoz, shunie, mossolin5, Nyagei na Transcend.

Team OT..
Asante kwa nukuu mkuu transcend
 
d4f93e4c340b685d0842e47be213261f.jpg
e9da365f7807f96d7ba7facea3bf2b4c.jpg
Jamaa ni mkorofi mwenye kipaji
9a89cb2b4009c93c329a5eee0564a2bd.jpg
Mnaikumbuka hii?
Ilikuwa ni baada ya kukorofisha na mchezaji mwenzie kabla ya mechi(nadhani John Arne Rise) sasa Bellamy sijui Bellamy akampiga mwenzie
Siku ya mechi nahisi UCL akafunga na kushangilia Kwa style hiyo akiigiza tukio lilitokea
.....
Mkorofi sana huyu jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom