Makapuku Forum

Makapuku Forum

fb1eed8715cc1d1807f875c5e684f2ce.jpg
d58eff3959261b5964b979399a6ce071.jpg

Hawana lolote hawa
Washakubaliana kupiga pesa
Usitarajie kuona ngumi jiwe...mi nitajilalia tu kwenye kigheto changu
.....
Nimeshtukia hiyo kuwa n janja ya nyan....

Na mshindi ashapangwa
 
Rooney siyo kipenzi cha Waingereza
Ila data zinawaumbua Waingereza...

Rooney hapewi heshima anayostahili tofauti na akina Michael Owen & David Beckham ambao ni vipenzi wa Waingwerza pengine na Alan Shearer
80986e39ed90ce6e52c32ecc691ed2d4.jpg
d3bbe6b12754e1770bbb4f692327534c.jpg
9621818883df2bcdc096814b2c6d70db.jpg


Man Utd nao watamjengea sanamu na kumuongeza pale kwenye The United Trinity(Utatu Mtakatifu) yaani Mara waliojengewa akina Sir Bobby Chalton,George Dickie Best na Dennis Law au wamuondoe mmoja ?
Sidhani
Ila Kwa data Wazza ana kila kitu
Thank You Legend
.......
Wakimuongeza Rooney haiwi the trinity tena...

Nahisi Rooney awe treated separately manake sioni mtu wa Kaliba yake tena kwenye hiki kizazi..

Labda Ryan Gigys ! Ronaldo aliondoka mapema...

Ila still he own our respect as Man u Fans..

Ni bora na ni heshima kupewa heshima na fans wa club kuliko team za Taifa.

Mchezaji ana spend almost 80% of his career akiwa na club na sio Taifa.

Club respect matters much than a fake Nation Team respect.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom