Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Rooney siyo kipenzi cha WaingerezaNUKUU YA LEO
i just want to say a massive thank you to everybody at manchester united,thank you to the board over years, the managers and coache's i hav played under,the staff i hav worked with, the team mates i hav played alongside,and finaly the amazing fans that i hav been lucky to play for . Thank for the memoris
Nitoe shukrani zangu nyingi kwa kila mmoja klabuni Manchester United, wakurugenzi wa bodi kwa miaka niliyokuwa hapa, mameneja na makocha niliofanya nao kazi, stafu niliofanyana nao kazi, wachezaji wenzangu niliocheza nao, na mwisho mashabiki ambao nimebahatika kucheza kwenye klabu yao. Asanteni kwa ukumbusho huu
Haye maneno yametamkwa na mwanasoka wa kiingereza na kipenzi cha klabu ya man united na everton za uingereza Bw. Wayne Mark Rooney .
Rooney alizaliwa October 24 1985 katika jiji la liverpool nchini uingereza.
Rooney amecheza michezo 77 akiwa na everton na kufunga magoli 17 tuu, amecheza mechi 559 na kufunga magoli 253 akiwa na man united.
Rooney anashikilia rekodi ya ufungaji wa magoli mengi zaidi klabuni MUFC na Time ya Taifa.
Leo atakuwa anacheza mechi ya 78 na timu ya Everton dhidi ya Gor mahia ya kenya, baada ya kurudi katika Club yake ya zamani ya Everton.
Leo Baba kai au (R10) au Wazza atakuwa Taifa pale..
![]()
![]()
![]()
Kwa hisani ya Bitoz, shunie, mossolin5, Nyagei na Transcend.
Team OT..
Ila data zinawaumbua Waingereza...
Rooney hapewi heshima anayostahili tofauti na akina Michael Owen & David Beckham ambao ni vipenzi wa Waingwerza pengine na Alan Shearer
Man Utd nao watamjengea sanamu na kumuongeza pale kwenye The United Trinity(Utatu Mtakatifu) yaani Mara waliojengewa akina Sir Bobby Chalton,George Dickie Best na Dennis Law au wamuondoe mmoja ?
Sidhani
Ila Kwa data Wazza ana kila kitu
Thank You Legend
.......
